Huyu dada nilikuwa na malengo nae ila mmh

Huyu dada nilikuwa na malengo nae ila mmh

Hana mapenzi na wewe bali kuna fursa aliyoiona kwako.

Kina dada hawezi kiwa romantic kwako kama anaona hakuna fursa.
 
Okay.

Ila kama wewe siku ya tatu unataka mspend time unashangaa nn yy kukukopa fedha tena kiasi kidogo hivyo.
Mkuuu kuspend time hakutamgharimu kiasi chochote cha pesa mwanamke, ila kwenda kusuka kunamgharimu jamaa pesa.
 
Kwa kweli hata mimi mdada akishaonesha yupo interested na jambo jingine kwenye mahusiani, ndio mwanzo wa kufa hayo mahusiano.
 
Kwa kweli hata mimi mdada akishaonesha yupo interested na jambo jingine kwenye mahusiani, ndio mwanzo wa kufa hayo mahusiano.
Sasa kwanini na yeye kamuita gheto?? Hata sisi mwanaume anaeonyesha genye zake mapema kwenye mahusiano hupelekea uhusiano kufa.
 
Sasa kwanini na yeye kamuita gheto?? Hata sisi mwanaume anaeonyesha genye zake mapema kwenye mahusiano hupelekea uhusiano kufa.
Hahaa mdau si amemuita kuspend time tu?
 
Wanaume wa siku hizi tunalilia sana issue kama hii si ya kuleta hapa you just let it go bro!
 
Acha unafiki mkuu, Jacklin si kaolewa na Mengi kwasababu ya pesa?? Inakuaje unasema hakuna mwanamke anaempenda mwanaume au kumkubali MTU sababu ya kitu Julymeme
Mkuu sio unafiki alimpenda na ndio maana mpaka leo wako nae, angempendea pesa basi angekuwa anahangaika na wanaume wengine lkn katulia na hana makuu.
 
Hahaa mdau si amemuita kuspend time tu?
Kuspend mpaka gehto? Si angemuambia waende hata movie au beach.

Nimefurahi mdada kamkomesha kidogo kajua kumkataa kiakili kwa mtu bahili kama yeye.
 
Wanawake karibu wote wameambukizana huu ujinga wa kupiga vibom yaan ukimtokea mdada akili yake yote inawaza kwamba kashapata mtu wa kumsaidia matatizo yake na sio mpenz wa kujenga nae familia
 
Kuspend mpaka gehto? Si angemuambia waende hata movie au beach.

Nimefurahi mdada kamkomesha kidogo kajua kumkataa kiakili kwa mtu bahili kama yeye.
Hahaa win to win situation
 
Kuspend mpaka gehto? Si angemuambia waende hata movie au beach.

Nimefurahi mdada kamkomesha kidogo kajua kumkataa kiakili kwa mtu bahili kama yeye.

Sio ghetto tu, hata nkimwambia twende town or somewhere else for a walk anadai yuko busy..sasa mm huyo wa nini Simara
 
Back
Top Bottom