[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio Swahiba.
Teh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Cheka tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda tuulize angeenda kwakeangetumia nauli ya kiasi gani.Elfu 30 tu na unamuanzishia thread.
Utashangaa anakupima, utakuta unamkopesha na anakulipa.
Wanaume mna vituko u don't want her to use you financially but unahitaji aje kwako mspend, so it's okaay wewe kumtumia ila it's not okaay yeye kukutumia??
Unashangaa siku ya 3 tu kukukopa hela ila ushangai siku ya 3 tu unamuambia aje kwako?
Hapo sasa. Jamaa anazinguaMkuu siku 3 tu baada ya kufahamiana naye ukamwita gheto,lakini ndani ya siku 3 hizo hizo ukiombwa hela unalalamika!
Sio wotemmh wanaume mna maneno jamani nyie kisa elfu 30 tu..Eeh Mungu fungua madirisha nipate baraka zangu mie kuomba binadama kubaya sana.
Wanawake wengi siku mnaangalia wadhifa wa mtu kwanza wenye upendo wa kweli ni wachache sana 7%Yeye amejuaje kuwa wewe una hela kama sio ulijieleza au kujionyesha kwake kuwa unazo...
Achana na mawazo hayo hakuna mwanamke anayempenda mwanaume au kumbali mtu sababu ya kitu.
Sisi huwa tunaongozwa na moyo na moyo huwa hauna macho so huwa hauwezi kuhis kuwa huyu mtu ana hela au hana.
Na ndio maana tunamkataa huyu na tunamkubali yule. Na hata linapokuja suala la kuachwa huwa tunapatwa na maumivu makali mno.
Nadhani ni kumi kwa mia mkuuWanawake wengi siku mnaangalia wadhifa wa mtu kwanza wenye upendo wa kweli ni wachache sana 7%
mmh basi sawa ila we cheki nyuzi nyingi humu wanaume wanalalamika kupigwa mizinga pesa ndogo ndogo tu wanatoa povu kweli..Sio wote
Hii counter attack ni ya highest level. Nadhani muanzisha Thread anatamani kuifuta. Wadada wa mjin banaElfu 30 tu na unamuanzishia thread.
Utashangaa anakupima, utakuta unamkopesha na anakulipa.
Wanaume mna vituko u don't want her to use you financially but unahitaji aje kwako mspend, so it's okaay wewe kumtumia ila it's not okaay yeye kukutumia??
Unashangaa siku ya 3 tu kukukopa hela ila ushangai siku ya 3 tu unamuambia aje kwako?
Sadly,nikwelimmh basi sawa ila we cheki nyuzi nyingi humu wanaume wanalalamika kupigwa mizinga pesa ndogo ndogo tu wanatoa povu kweli..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwee Mkuu umenichekesha sana.Hii counter attack ni ya highest level. Nadhani muanzisha Thread anatamani kuifuta. Wadada wa mjin bana
inaonesha kipato chako hakijitoshelezi kiujumla hauna pesa za kuendana na kasi ya mabinti wa kisasa ni vizuri lakini na msimamo wako mana hapo utajitahidi kuhudumia lakini demu ukimwita geto sababu haziiishagi nawajua hawa kuku wa kisasaHello guys
Kuna mdada mmoja nlimtongoza halafu akaonesha kunikubali, like ananipigia simu, anani-text, she is sweet and charming etc..isipokuwa tu kila nikimwita aje gheto, au nikimwomba ni-spend time pamoja nae, anadai kuwa yuko busy, sana sana atanialika kwao nikamtembelee.
Alichonimaliza ni pale aliponiomba nimkopeshe elf 30 ya kwenda saluni, akiahidi kunirudishia hiyo hela baada ya wiki mbili (of course we all know there is 98% probability kuwa asingenirudishia) na mdada nahis alijua nisingemdai hiyo hela kwasababu nampenda..so technically ni kwamba aliniomba hela indirectly.
Sasa nkajiuliza na kufikiria mambo kadhaa:
1) Hajui ku-manage hela, hata nkimuoa si atakopa kopa aweke familia kwenye madeni ili aende saluni?
2)Muda wa ku-spend time na mimi hana, ila muda wa kwenda saluni kusuka anao..
3)Kanikopa hela Siku ya 3 tu baada ya kufahamiana nae, which to me is a huge red flag, najua ni jukumu la mwanaume kumpa hela mpenzi wake (mke au girlfriend), na mimi nakubaliana hilo jukumu, ila huyu mdada nahisi ananipendea hela , nina uwezo wa kumpa hata mara 10 ya hela alioniomba, ila mmh hapana..I don't want her to use me financially.
Sasa nimemwambia usijali utapata hiyo hela, ila kiukweli simpi hela, sitakaa nimtembelee kwao, niwasiliane nae au niongee nae tena, wala calls na SMS zake sitojibu, nimekaa zangu kimya kama jogoo aliemwagiwa maji ya baridi..bora fedha kuliko fedheha..
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku tatu wewe ulihurumiwa kabisaa
Wenzako tulikuwa hatuna hata masaa 24 tumeshapewa na ratiba ya kusuka kabisaa kikubwa tuombe pumzi tuu tutajua ni namna gani ya kukaa nao ili tuelewane
Nimeshamuambia siku tatu amehurumiwa sanaa hasikiii wengine hata masaa 24 hatukumalizaa na kwa msusi tukapajuaaElfu 30 tu na unamuanzishia thread.
Utashangaa anakupima, utakuta unamkopesha na anakulipa.
Wanaume mna vituko u don't want her to use you financially but unahitaji aje kwako mspend, so it's okaay wewe kumtumia ila it's not okaay yeye kukutumia??
Unashangaa siku ya 3 tu kukukopa hela ila ushangai siku ya 3 tu unamuambia aje kwako?