Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,397
- 465,233
Nakalia England hawataniangushaLabda usikalie mkeka wa England.
Nakalia England hawataniangushaLabda usikalie mkeka wa England.
NakaziaMjombangu sikupondi ila nakwambia ukweli, huyo demu wewe umemuingiza akilini/moyoni mwako kwa kina na mapana zaidi kuliko yeye binafsi anavyokuchukulia.
Akilini umewaka mipango mingi juu yake ktk maisha utakayaishinae wakati hujafikia huko, uhusiano wenu ni wamuda mfupi ila mipango yako kwake ni kama ya miaka 10.
Hawezi kufanya unachofikiri au kutaka kwakuwa hatua mliopo bado ni changa inahitaji muda akujue umjue ndio aweze kufanya utakachotaka.
Nikwambie kitu kimoja, kitu chochote hatua za awali kina gharama zake, mwanamke nae ni hivyohivyo, hawezi kuwa mchumi wa kuionea huruma pesa yako wakati sio mkeo na haishi na wewe kujua kuwa sasa upo ktk wakati mgumu ama lah. Ukimuona mwanamke amerembeka na kupendeza iwe kaolewa ama lah basi jua kuna mtu anaugulia maumivu, ukiwa bahili sana hutaoa mkuu.
Umenena vema mkuu... Wanaume wa siku hizi wanakalili sana maisha na hawajui kuwa tunaishi dunia nyingine ya tofauti kabisa na zamani.Elfu 30 tu na unamuanzishia thread.
Utashangaa anakupima, utakuta unamkopesha na anakulipa.
Wanaume mna vituko u don't want her to use you financially but unahitaji aje kwako mspend, so it's okaay wewe kumtumia ila it's not okaay yeye kukutumia??
Unashangaa siku ya 3 tu kukukopa hela ila ushangai siku ya 3 tu unamuambia aje kwako?
Naomba unikopeshe na mm jamani nitakurudishia
Yeye amejuaje kuwa wewe una hela kama sio ulijieleza au kujionyesha kwake kuwa unazo...Nyie wanawake sijui mnaona mkitupa sisi wanaume "k" kwamba tunafaidi sana wakati raha tunapata wote. Napenda kumpa pesa huyo dada, kwangu sio issue kumpa huyo mdada hata laki moja na I am more than willing to do that. Mm nlichotaka kutoka kwa huyo dada, ni kuwa anipende mimi kama mimi na si pesa yangu, so nimehis kanipendea hela. In fact huyo dada nlikuwa na malengo ya kuja kumuoa huko mbeleni, pia sikuwa na nia yoyote mbaya juu ya huyo dada Simara
Mmh. We MtaniiiNimeamka sasa BBC, mkuu mwambie aje kuchukua geto kwako kama akija fanya yako..
Hahahaaaa. Lol. Swahiba namie naku Pm namba yangu jamaani lol. [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Nipm namba yake ya tigo pesa nimtumie hiyo elfu 30 tena bila kumkopesha,we utakua mwanaume wa mkoani,kuombwa elfu 30 tu unaanzisha thread uliotumia nusu saa kuiandika!
Ndio hivyo rafiki.Aisee
Hahahaaaa. Kazi ipo best.Ungeombwa laki ungeenda kumfungulia mashtaka polisi kabisa
Wanaume wa zama hizi jamani. Elfu 30 tuuu khaaah. Alikua anampima elfu 30 haitoshi saluniElfu 30 tu na unamuanzishia thread.
Utashangaa anakupima, utakuta unamkopesha na anakulipa.
Wanaume mna vituko u don't want her to use you financially but unahitaji aje kwako mspend, so it's okaay wewe kumtumia ila it's not okaay yeye kukutumia??
Unashangaa siku ya 3 tu kukukopa hela ila ushangai siku ya 3 tu unamuambia aje kwako?
Kanichosha. Sasa alitaka aende gheto na nywele chafu au??Mkuu siku 3 tu baada ya kufahamiana naye ukamwita gheto,lakini ndani ya siku 3 hizo hizo ukiombwa hela unalalamika!
Mkuu siku 3 tu baada ya kufahamiana naye ukamwita gheto,lakini ndani ya siku 3 hizo hizo ukiombwa hela unalalamika!
Elfu 30 tu na unamuanzishia thread.
Utashangaa anakupima, utakuta unamkopesha na anakulipa.
Wanaume mna vituko u don't want her to use you financially but unahitaji aje kwako mspend, so it's okaay wewe kumtumia ila it's not okaay yeye kukutumia??
Unashangaa siku ya 3 tu kukukopa hela ila ushangai siku ya 3 tu unamuambia aje kwako?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Okay.
Ila kama wewe siku ya tatu unataka mspend time unashangaa nn yy kukukopa fedha tena kiasi kidogo hivyo.
Hapa ndipo nawapendea wanaume wa Dar. Ukiona mtu mchoyo hana helaNipm namba yake ya tigo pesa nimtumie hiyo elfu 30 tena bila kumkopesha,we utakua mwanaume wa mkoani,kuombwa elfu 30 tu unaanzisha thread uliotumia nusu saa kuiandika!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ungeombwa laki ungeenda kumfungulia mashtaka polisi kabisa
Wewe utakuwa Danga type ya akina Muna sio bure...maana huwa wana defense mode kali sanaElfu 30 tu na unamuanzishia thread.
Utashangaa anakupima, utakuta unamkopesha na anakulipa.
Wanaume mna vituko u don't want her to use you financially but unahitaji aje kwako mspend, so it's okaay wewe kumtumia ila it's not okaay yeye kukutumia??
Unashangaa siku ya 3 tu kukukopa hela ila ushangai siku ya 3 tu unamuambia aje kwako?
Yeye amejuaje kuwa wewe una hela kama sio ulijieleza au kujionyesha kwake kuwa unazo...
Achana na mawazo hayo hakuna mwanamke anayempenda mwanaume au kumbali mtu sababu ya kitu.
Sisi huwa tunaongozwa na moyo na moyo huwa hauna macho so huwa hauwezi kuhis kuwa huyu mtu ana hela au hana.
Na ndio maana tunamkataa huyu na tunamkubali yule. Na hata linapokuja suala la kuachwa huwa tunapatwa na maumivu makali mno.
Si ndio hapo...wanaume wanazidi kuisha aiseeeTena hela yenyewe 30 jamanii