Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,608
- 9,009
Ni shida, alishakufanya ATM tayari.
Umesema ukweli kabisa...angempa tu hiyo hela, halafu ajue ni mwanamke wa aina gani, kuliko kuja kumsema huku mtoto wa watu.Mjombangu sikupondi ila nakwambia ukweli, huyo demu wewe umemuingiza akilini/moyoni mwako kwa kina na mapana zaidi kuliko yeye binafsi anavyokuchukulia.
Akilini umewaka mipango mingi juu yake ktk maisha utakayaishinae wakati hujafikia huko, uhusiano wenu ni wamuda mfupi ila mipango yako kwake ni kama ya miaka 10.
Hawezi kufanya unachofikiri au kutaka kwakuwa hatua mliopo bado ni changa inahitaji muda akujue umjue ndio aweze kufanya utakachotaka.
Nikwambie kitu kimoja, kitu chochote hatua za awali kina gharama zake, mwanamke nae ni hivyohivyo, hawezi kuwa mchumi wa kuionea huruma pesa yako wakati sio mkeo na haishi na wewe kujua kuwa sasa upo ktk wakati mgumu ama lah. Ukimuona mwanamke amerembeka na kupendeza iwe kaolewa ama lah basi jua kuna mtu anaugulia maumivu, ukiwa bahili sana hutaoa mkuu.
Okay.
Ila kama wewe siku ya tatu unataka mspend time unashangaa nn yy kukukopa fedha tena kiasi kidogo hivyo.
Aisee vyuma kweli vimekaza!
Yaani elfu thelathini ndo zinakuumiza kichwa namna hiyo?
Ukitaka kula kubali uliwe kidogo
Mm nimeshakupm nitumieNipm namba yake ya tigo pesa nimtumie hiyo elfu 30 tena bila kumkopesha,we utakua mwanaume wa mkoani,kuombwa elfu 30 tu unaanzisha thread uliotumia nusu saa kuiandika!
Sasa amekukopa hela, na malengo yakapotea ghafla? Amehaidi kulipa...ungempa tu...siku ikifika asiporudisha hapo ndipo unaweza kujua ni mwanamke wa aina gani.Nyie wanawake sijui mnaona mkitupa sisi wanaume "k" kwamba tunafaidi sana wakati raha tunapata wote. Napenda kumpa pesa huyo dada, kwangu sio issue kumpa huyo mdada hata laki moja na I am more than willing to do that. Mm nlichotaka kutoka kwa huyo dada, ni kuwa anipende mimi kama mimi na si pesa yangu, so nimehis kanipendea hela. In fact huyo dada nlikuwa na malengo ya kuja kumuoa huko mbeleni, pia sikuwa na nia yoyote mbaya juu ya huyo dada Simara
Mjombangu sikupondi ila nakwambia ukweli, huyo demu wewe umemuingiza akilini/moyoni mwako kwa kina na mapana zaidi kuliko yeye binafsi anavyokuchukulia.
Akilini umewaka mipango mingi juu yake ktk maisha utakayaishinae wakati hujafikia huko, uhusiano wenu ni wamuda mfupi ila mipango yako kwake ni kama ya miaka 10.
Hawezi kufanya unachofikiri au kutaka kwakuwa hatua mliopo bado ni changa inahitaji muda akujue umjue ndio aweze kufanya utakachotaka.
Nikwambie kitu kimoja, kitu chochote hatua za awali kina gharama zake, mwanamke nae ni hivyohivyo, hawezi kuwa mchumi wa kuionea huruma pesa yako wakati sio mkeo na haishi na wewe kujua kuwa sasa upo ktk wakati mgumu ama lah. Ukimuona mwanamke amerembeka na kupendeza iwe kaolewa ama lah basi jua kuna mtu anaugulia maumivu, ukiwa bahili sana hutaoa mkuu.
Wachaga buana!!!!Hello guys
Kuna mdada mmoja nlimtongoza halafu akaonesha kunikubali, like ananipigia simu, anani-text, she is sweet and charming etc..isipokuwa tu kila nikimwita aje gheto, au nikimwomba ni-spend time pamoja nae, anadai kuwa yuko busy, sana sana atanialika kwao nikamtembelee.
Alichonimaliza ni pale aliponiomba nimkopeshe elf 30 ya kwenda saluni, akiahidi kunirudishia hiyo hela baada ya wiki mbili (of course we all know there is 98% probability kuwa asingenirudishia) na mdada nahis alijua nisingemdai hiyo hela kwasababu nampenda..so technically ni kwamba aliniomba hela indirectly.
Sasa nkajiuliza na kufikiria mambo kadhaa:
1) Hajui ku-manage hela, hata nkimuoa si atakopa kopa aweke familia kwenye madeni ili aende saluni?
2)Muda wa ku-spend time na mimi hana, ila muda wa kwenda saluni kusuka anao..
3)Kanikopa hela Siku ya 3 tu baada ya kufahamiana nae, which to me is a huge red flag, najua ni jukumu la mwanaume kumpa hela mpenzi wake (mke au girlfriend), na mimi nakubaliana hilo jukumu, ila huyu mdada nahisi ananipendea hela , nina uwezo wa kumpa hata mara 10 ya hela alioniomba, ila mmh hapana..I don't want her to use me financially.
Sasa nimemwambia usijali utapata hiyo hela, ila kiukweli simpi hela, sitakaa nimtembelee kwao, niwasiliane nae au niongee nae tena, wala calls na SMS zake sitojibu, nimekaa zangu kimya kama jogoo aliemwagiwa maji ya baridi..bora fedha kuliko fedheha..
Wewe tutabet mechi ya J5 😀😀😀😀Naomba unikopeshe na mm jamani nitakurudishia
Wewe tutabet mechi ya J5 😀😀😀😀
Win-win situation [emoji2]Nakazia
Hata Mimi nashangaaElfu 30 tu na unamuanzishia thread.
Utashangaa anakupima, utakuta unamkopesha na anakulipa.
Wanaume mna vituko u don't want her to use you financially but unahitaji aje kwako mspend, so it's okaay wewe kumtumia ila it's not okaay yeye kukutumia??
Unashangaa siku ya 3 tu kukukopa hela ila ushangai siku ya 3 tu unamuambia aje kwako?
Wewe kijana unatuchosha. Kuombwa elfu 30 unatuanzishia thread tutoe comments ..... Kweli??? Acha kujidhalilisha.Hello guys
Kuna mdada mmoja nlimtongoza halafu akaonesha kunikubali, like ananipigia simu, anani-text, she is sweet and charming etc..isipokuwa tu kila nikimwita aje gheto, au nikimwomba ni-spend time pamoja nae, anadai kuwa yuko busy, sana sana atanialika kwao nikamtembelee.
Alichonimaliza ni pale aliponiomba nimkopeshe elf 30 ya kwenda saluni, akiahidi kunirudishia hiyo hela baada ya wiki mbili (of course we all know there is 98% probability kuwa asingenirudishia) na mdada nahis alijua nisingemdai hiyo hela kwasababu nampenda..so technically ni kwamba aliniomba hela indirectly.
Sasa nkajiuliza na kufikiria mambo kadhaa:
1) Hajui ku-manage hela, hata nkimuoa si atakopa kopa aweke familia kwenye madeni ili aende saluni?
2)Muda wa ku-spend time na mimi hana, ila muda wa kwenda saluni kusuka anao..
3)Kanikopa hela Siku ya 3 tu baada ya kufahamiana nae, which to me is a huge red flag, najua ni jukumu la mwanaume kumpa hela mpenzi wake (mke au girlfriend), na mimi nakubaliana hilo jukumu, ila huyu mdada nahisi ananipendea hela , nina uwezo wa kumpa hata mara 10 ya hela alioniomba, ila mmh hapana..I don't want her to use me financially.
Sasa nimemwambia usijali utapata hiyo hela, ila kiukweli simpi hela, sitakaa nimtembelee kwao, niwasiliane nae au niongee nae tena, wala calls na SMS zake sitojibu, nimekaa zangu kimya kama jogoo aliemwagiwa maji ya baridi..bora fedha kuliko fedheha..
Tena hela yenyewe 30 jamaniiHata Mimi nashangaa
Win-win situation [emoji2]
Labda usikalie mkeka wa England.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Una hamu ya kuchukua hela yangu na hautachukua