Huyu dada nilikuwa na malengo nae ila mmh

okoyoko

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
2,664
Reaction score
3,653
Hello guys

Kuna mdada mmoja nlimtongoza halafu akaonesha kunikubali, like ananipigia simu, anani-text, she is sweet and charming etc..isipokuwa tu kila nikimwita aje gheto, au nikimwomba ni-spend time pamoja nae, anadai kuwa yuko busy, sana sana atanialika kwao nikamtembelee.

Alichonimaliza ni pale aliponiomba nimkopeshe elf 30 ya kwenda saluni, akiahidi kunirudishia hiyo hela baada ya wiki mbili (of course we all know there is 98% probability kuwa asingenirudishia) na mdada nahis alijua nisingemdai hiyo hela kwasababu nampenda..so technically ni kwamba aliniomba hela indirectly.

Sasa nkajiuliza na kufikiria mambo kadhaa:
1) Hajui ku-manage hela, hata nkimuoa si atakopa kopa aweke familia kwenye madeni ili aende saluni?
2)Muda wa ku-spend time na mimi hana, ila muda wa kwenda saluni kusuka anao..
3)Kanikopa hela Siku ya 3 tu baada ya kufahamiana nae, which to me is a huge red flag, najua ni jukumu la mwanaume kumpa hela mpenzi wake (mke au girlfriend), na mimi nakubaliana hilo jukumu, ila huyu mdada nahisi ananipendea hela , nina uwezo wa kumpa hata mara 10 ya hela alioniomba, ila mmh hapana..I don't want her to use me financially.

Sasa nimemwambia usijali utapata hiyo hela, ila kiukweli simpi hela, sitakaa nimtembelee kwao, niwasiliane nae au niongee nae tena, wala calls na SMS zake sitojibu, nimekaa zangu kimya kama jogoo aliemwagiwa maji ya baridi..bora fedha kuliko fedheha..
 
Kama angekuwa na mapenzi na wewe asingetanguliza mizinga ya hela ya saluni.Umehitimisha vizuri,.....I don't want her to use me financially. Achana naye.
 
Elfu 30 tu na unamuanzishia thread.

Utashangaa anakupima, utakuta unamkopesha na anakulipa.

Wanaume mna vituko u don't want her to use you financially but unahitaji aje kwako mspend, so it's okaay wewe kumtumia ila it's not okaay yeye kukutumia??

Unashangaa siku ya 3 tu kukukopa hela ila ushangai siku ya 3 tu unamuambia aje kwako?
 
Nimeamka sasa BBC, mkuu mwambie aje kuchukua geto kwako kama akija fanya yako..
 
Hello guys

Kuna mdada mmoja nlimtongoza halafu akaonesha kunikubali, like ananipigia simu, anani-text, she is sweet and charming etc..isipokuwa tu kila nikimwita aje gheto, au nikimwomba ni-spend time pamoja nae, anadai kuwa yuko busy, sana sana atanialika kwao nikamtembelee.

Alichonimaliza ni pale aliponiomba nimkopeshe elf 30 ya kwenda saluni, akiahidi kunirudishia hiyo hela baada ya wiki mbili (of course we all know there is 98% probability kuwa asingenirudishia) na mdada nahis alijua nisingemdai hiyo hela kwasababu nampenda..so technically ni kwamba aliniomba hela indirectly.

Sasa nkajiuliza na kufikiria mambo kadhaa:
1) Hajui ku-manage hela, hata nkimuoa si atakopa kopa aweke familia kwenye madeni ili aende saluni?
2)Muda wa ku-spend time na mimi hana, ila muda wa kwenda saluni kusuka anao..
3)Kanikopa hela Siku ya 3 tu baada ya kufahamiana nae, which to me is a huge red flag, najua ni jukumu la mwanaume kumpa hela mpenzi wake (mke au girlfriend), na mimi nakubaliana hilo jukumu, ila huyu mdada nahisi ananipendea hela , nina uwezo wa kumpa hata mara 10 ya hela alioniomba, ila mmh hapana..I don't want her to use me financially.

Sasa nimemwambia usijali utapata hiyo hela, ila kiukweli simpi hela, sitakaa nimtembelee kwao, niwasiliane nae au niongee nae tena, wala calls na SMS zake sitojibu, nimekaa zangu kimya kama jogoo aliemwagiwa maji ya baridi..bora fedha kuliko fedheha..
Sio jukumu la mwanaume kumpa demu pesa ndo maana Africa haiendelei kwasababu ya watu kuwa tegemezi
 
Mpe hiyo hela mkuu unataka aje kulala kwako kasuka tatu kichwa? Hayo ni maandalizi apendeze ili ukimkunyuga nao upate hisia kama umelala na Rihanna
 
Mimi niliwai tibuana na manzi moja ...we kila siku yeye kuchora kucha mara nywele , nikamuuliza hivi ushawai wapigia wazazi wako kila baada ya siku 2 kuomba pesa ya kucha na nywele ...kilichotekea ni block [emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️
 
Elfu 30 tu na unamuanzishia thread.

Utashangaa anakupima, utakuta unamkopesha na anakulipa.

Wanaume mna vituko u don't want her to use you financially but unahitaji aje kwako mspend, so it's okaay wewe kumtumia ila it's not okaay yeye kukutumia??

Unashangaa siku ya 3 tu kukukopa hela ila ushangai siku ya 3 tu unamuambia aje kwako?
I suggest angempa muda zaidi. kama ni golddigger atajionyesha tu
 
Mimi niliwai tibuana na manzi moja ...we kila siku yeye kuchora kucha mara nywele , nikamuuliza hivi ushawai wapigia wazazi wako kila baada ya siku 2 kuomba pesa ya kucha na nywele ...kilichotekea ni block [emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️
Ulimuumbua hahaha
 
Elfu 30 tu na unamuanzishia thread.

Utashangaa anakupima, utakuta unamkopesha na anakulipa.

Wanaume mna vituko u don't want her to use you financially but unahitaji aje kwako mspend, so it's okaay wewe kumtumia ila it's not okaay yeye kukutumia??

Unashangaa siku ya 3 tu kukukopa hela ila ushangai siku ya 3 tu unamuambia aje kwako?

Nyie wanawake sijui mnaona mkitupa sisi wanaume "k" kwamba tunafaidi sana wakati raha tunapata wote. Napenda kumpa pesa huyo dada, kwangu sio issue kumpa huyo mdada hata laki moja na I am more than willing to do that. Mm nlichotaka kutoka kwa huyo dada, ni kuwa anipende mimi kama mimi na si pesa yangu, so nimehis kanipendea hela. In fact huyo dada nlikuwa na malengo ya kuja kumuoa huko mbeleni, pia sikuwa na nia yoyote mbaya juu ya huyo dada Simara
 
Bosi malengo ya nini wakati mna siku tatu?

Kiukweli hela aliyoomba mi nisingetoa.
 
Back
Top Bottom