Huyu dada ni muuaji

Huyu dada ni muuaji

Sio attitude
Wanawake wote harusi ni kitu sensitive..

Hutakiwi kubishana nao ..

Hata dada yako anaweza kugoma akiona harusi ya shamba shamba
yes sitabishana naye nitamuambia arudi kwao akasubiri mwenye pesa ya kumfanyia harusi ya kifahari.
 
Una uhakika gani alitaka ya kifahari?
Pengine ni different choices Kwa gharama Ile ile
mleta mada kasema kabisa dada amekataa kwasababu "ukumbi hauna hadhi yake"

"saloon haina hadhi yake"

Inshort nisingebishana na dada wa aina hiyo ningemuambia asante kwa kushiriki nenda kwa wazazi wako mumsubiri atakayeweza kukuoa kwenye ukumbi wa hadhi yako.
 
Binti analaumiwa bure
Ina maana Hadi mnachagua ukumbi hamkumwambia?..

Keki siku hizi si zinaletwa picha mnachagua?
Hakutumiwa picha watsaap?

Harusi ni tukio sensitive Kwa baadhi ya watu..

Ushamba uko Kwa hao kamati
Alikuwa wapi siku zote?
Huyo ni bumunda, ingekuwa ni mimi ntajitahidi kufanya atakavyo, nikimuoa natafuta mke mwingine na kumwambia wewe sio hadhi yangu...pumbavu kabisa na sipendagi kushindwa kijinga
 
Huyo dada ana haki ya kukataa sherehe mbovu ya tukio kubwa, maishani kwa mkiristo zipo sherehe tatu kuu ya kuzaliwa, ubatizo, na harusi na kifo ndio main events, so binti ana haki kabisa ya kugoma mwenyewe nisingekubali harusi yangu iwe ya kiboya
 
Michango imezidi siku hizi

Kwanza imekuwa lazima kufanya harusi sababu kuna watu walikula michango yako inabidi ujifidie

Pili kuna watu umewachangia wakafanya sherehe nzuri unataka ufanye kama au kuwazidi wao

Haya mambo yanapelekea kuishi nje ya uhalisia wa vipato

Pambaneni mmeyataka, kwa mtu asiyejihusisha na mambo hayo hahisi deni lolote moyoni hata asipofanya sherehe kubwa
 
Ningekuwa ndio mimi sitaki maelezo napiga chini hapo hakuna mke kabisa uyo mke siku ukifulia atakukimbia tu
 
Huyo dada ana haki ya kukataa sherehe mbovu ya tukio kubwa, maishani kwa mkiristo zipo sherehe tatu kuu ya kuzaliwa, ubatizo, na harusi na kifo ndio main events, so binti ana haki kabisa ya kugoma mwenyewe nisingekubali harusi yangu iwe ya kiboya
Lakini alikuwa wapi muda wote?
Nakuhakikishia ukumbu na keki nzuri zitapatikaba lakini tayari ameiharibu sherehe yake, watu wameneona anaringa watahudhuria lakini shamrashamra hazitafana
 
anahaki saw ila yeye kama yeye anaetaka ukumbi wa mamilion amechangia sh ngapi upande wa keki ameiona ya kishamba angeleta yake ya kishua ili mambo yaende sasa unagoma lkn jeur ya pesa huna ndio nini mana yake
 
Lakini alikuwa wapi muda wote?
Nakuhakikishia ukumbu na keki nzuri zitapatikaba lakini tayari ameiharibu sherehe yake, watu wameneona anaringa watahudhuria lakini shamrashamra hazitafana
Mda wote hawakumsikiliza Sasa afanyeje, ujue sherehe ni Bibi harusi apendeze nyingine huwa mbwembwe tu.
So lazima umsikilize Bibi harusi Mana ndio sherehe yake
 
Back
Top Bottom