Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
waTZ tujifunze kuishi maisha ya hadhi yetu.Harusi ni jambo linalotokea (ukiacha Waislamu) mara moja katika maisha! Kwa nini lisisherehekewe katika mazingira ambayo kila mmoja aridhike?
Ataonekana mbaya, ila ana haki kulikataa hilo! Inawezekana alishatoa maelekezo wakapuuzia thus why kasusa.
NB: Mpate na bibi harusi umuhoji ili story iweze kubalance, inawezekana kuna jingine zaidi!