Basi hapo hakuna mke!Maelezo yamekamilika. Kifupi binti anataka mambo ya bongo movie na instagram wakati kipato cha bwana wake anakijua. Wamesoma wote darasa moja, kozi moja, chuo kimoja!.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Demu yupo mkuu, ila mke ndio hamna.Hamna demu hapo
Huyo binti ni choka mbaya tu sema tamaa imemtawala. Hajatokea familia ya mboga saba.Sasa wewe una kipato cha mkulima unakwenda kuoa kwa MoDewji unategemea nini?
Huyo binti ni choka mbaya tu sema tamaa imemtawala. Hajatokea familia ya mboga saba.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Sijaibeza simu yako Boss, wale wenye simu za bei na zisizo na bei sote tunakutana humu JFYes mkuu ndio simu za watu wa chini kama sisi.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Inaonekana we ya kwako ilikuwa bab kubwaHuyo dada ana haki ya kukataa sherehe mbovu ya tukio kubwa, maishani kwa mkiristo zipo sherehe tatu kuu ya kuzaliwa, ubatizo, na harusi na kifo ndio main events, so binti ana haki kabisa ya kugoma mwenyewe nisingekubali harusi yangu iwe ya kiboya
Sijafanya Ila ikifika maandalizi muhimuInaonekana we ya kwako ilikuwa bab kubwa
Kweli mkuu pia kuna umri fulani ukifikia roho ya mashindano inakutoka. Unaweza kuta mtu ana mshahara wa 5m ila anatumia Tecno W3, ila hawa wenye mshahara wa la tatu na nusu ndio wanahangaika kubadilisha iphone kila fashion inayoingia.Sijaibeza simu yako Boss, wale wenye simu za bei na zisizo na bei sote tunakutana humu JF
Kama aliona hapendezewi basi alitakiwa achangie pesa ili apate anavyotaka yeye.Harusi sio ya huyo Binti? Mbona amegoma imeahirishwa?..kuna harusi bila bi harusi?
Your salary is C your expenses are Z. Sisi wanaume usipokuwa na akili ukataka toka na mwanamke mwenye taste zilizozidi uwezo wako ama utaishia kuwa chizi au utageuka kuwa mwizi na madeni juu.Huyo dada ana haki ya kukataa sherehe mbovu ya tukio kubwa, maishani kwa mkiristo zipo sherehe tatu kuu ya kuzaliwa, ubatizo, na harusi na kifo ndio main events, so binti ana haki kabisa ya kugoma mwenyewe nisingekubali harusi yangu iwe ya kiboya