Huyu dada ajengewe sanamu lake

Tatizo na sisi wanaume tunapendaga kujiona always rigt kumbe na mazwazwa yapo kwenye kundi letu,wapo madingo na tunawaona kwenye jamii wanawakimbia na kuzikata familia kisa wanawake wengine na kuacha watoto wanataabika bila sababu na huyo de Gunner unataka kusema always he’s right? Kunamengi sana ambayo hata sisi tunafeli sana ni basi yote ya yote tunapumua…kakae kwenye bench la maswala ya jinsia ndio utaelewa mkuu acha kuwa miyeyusho kama Tlaatlaah
 
Ok.🐒
 
Acha kubwabwaja get to the point.. Nani kasema nataka kuwa right? Tunaongea facts na siku zote wengi hawaupendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…