Huyu dada ajengewe sanamu lake

Hapana, uko mbali na ninachojadili mimi.

Pia haujanipa definition ya partnership, kwakuwa yangu ulikataa.
 
Hapana, uko mbali na ninachojadili mimi.

Pia haujanipa definition ya partnership, kwakuwa yangu ulikataa.
Nimekujibu by explanation ambayo utaikimbia because ni ngumu kumeza.

Kama Umesoma nilicho andika ndo jibu na msingi wote
 
Jamii ya zamani ilikuwa male dominated , sasa kwanini kulikuwa na mivutano hadi kuibuka kwa feminism if i may ask, ikiwa umesema ustawi unapatikana pale tu male anapodominate…….

Na je Patriarchy kama mfumo hamuoni ni lazima ubadilike/uanguke since kila kitu duniani kinachomhusu mwanadamu lazima kibadilike.

Mwanadamu ni mnyama wa mabadiliko…..

(sijasoma comments zote kwahiyo sijajua mlikoanzia, tho ile comment uliyonijibu asubuhi, nimeilike tu sababu sina further argument)
 
Haina definition mpaka unipe explaination?

Unamaanisha nini kukimbia…
Because unajua partnership is a result of psychological trick to make people think they need to show up on things they weren't designed for...

Nimetoa perspective ya wazee wa zamani babu zetu, hatukusikia wanatoa makomwe nje kama kizazi cha leo chenye kimejawa na psychological trash

Kwanza huu mjadala tumesha umaliza soma kwanza hizo comment usipo Pata majibu utarejea
 
Kumbe mmemaliza? Ngoja nikipata muda tena nitasoma, if i will be having something to say.
 
Nafikiri hapa umeongelea kitu kingine kioya mkuu. Najua consequences za idiology zote. Na mimi binafsi ukiniuliza mfumo upi ni sahihi nitakujibu ni patriarchy, kwa sababu hii ilijiinua kwa kufuata natural pattern, haipo theoritical kama hii ya gender equality ambayo dunia inaipigia chapuo.

Lakini neno langu sio sheria. Hata kama mimi naona patriarchy ndio bora zaidi siwezi kusema naishi kafika misingi ya patriarchy wakati jamii imesha-implement gender equality. Nitalazimika kuji-adjust kwenye hiyo hiyo gender equality.

Kwahiyo ninachoongea ni maoni yangu katika kuonyesha nyufa kwenye hii gender equality implementation na kuonyesha jinsi inavyotakiwa kuwa kama tumeamua kwenda nayo. Lakini likija suala la mfumo upi hapo naona ambao hauna vipengere katika utekelezaji wake jibu langu ni patriarchy kwa sababu ni mfumo ambao unapita kwenye natural pattern
 
Hata kipindi cha patriarchy wapo wanawake ambao walitoka nje ya mstari lakini walishughulikiwa vikali sana.

Kwanza lazima uelewe feminism ilipewa go ahead na wanaume wenyewe. Mwanaume asingeruhusu hii kitu hakuna ambacho wanawake mngeweza kufanya.

Ukifuatilia historia ya feminism deep kabisa ni movement ya wanasiasa katika harakati zao za kutaka kura za wanawake. Hakuna kikao cha wanaume kilikaa na kupitisha feminism kama nyie mlivyofanya pale beijing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…