Huyu dada ajengewe sanamu lake

Unaona hili linawezekana? if yes kivipi?
Naamini inawezekana kabisa. Kwanza ni wanaume kukubali jamii inapotea. Tufike tu hatua tukubaliane na ukweli kwamba tukimweka mwanamke kwenye center ya kila kitu lazima mambo yawe shaghalabaghala. Kuna wakati na sehemu inalazimu mwanamke apuuzwe kwa faida ya jamii akiwemo mwanamke mwenyewe
 
Unahisi huu mchakato unaweza kuchukua muda gani mpaka kuanza kuona changes?

Na muda wote ambao tunahangaika na huo mchakato jamii itakuwa inaishi vipi?
 
Hapa umejielezea wewe zaidi , naweza kusema huu ni ubinafsi, nataka majibu ambayo yanatugusa wanaume wote kwa namna moja ama nyingine.

Kwanini wanaume wanaonekana kutafuta huruma karne hii baada tu ya kuoa?
 
Unahisi huu mchakato unaweza kuchukua muda gani mpaka kuanza kuona changes?

Na muda wote ambao tunahangaika na huo mchakato jamii itakuwa inaishi vipi?
Kuweka muda mahususi sio jambo rahisi maana hapa unashughulika na akili za binadamu. Sio gari au ugonjwa ambao unajua mpaka muda fulani tatizo litskua lomeisha. Mimi nimesoma finance,economic, accounting na hesabu, kwahiyo ni suala ambalo lipo nje kidogo ya uwanda wangu. Tuna wataalamu wa masuala ya ustawi wa jamii wanaweza kutupa muongozo wa nini tufanye tulipokwama. Lakini ninachooamini kukubali tatizo lipo tayari ni hatua ya kwanza kwenye kuelekea kulitatua
 
Soma post #222, umejibu kuhusu talaka ila kuna sehemu umeiruka, sijajua kama haujaona umuhimu wa kuitolea majibu au umefanya makusudi kuparuka.
Kuhusu talaka wewe ulimaanisha kwamba talaka zinakua initiated na wanawake wasomi kwa sababu wamekataa manyanyaso na ukandamizaji. Nikakwambia hiyo ni hoja ya kifeminia yenye lengo la kumtengenezea mwanaume picha ya kuonekana ni villain kwenye kila situation.

Kuna comment nyingine nikakwambia kwamba talaka zinakua initiated zaidi na wanawake kwa kuna masilahi wanayapata kisheria wanapovunja ndoa zao. Kama mwanamke angekua anakutana na consequences anapovunja ndoa hata wanawake wasomi wangekua tayari kukaa kwenye meza ya majadiliano na waume zao pale zinapotokea misunderstandings

Sijaona sehemu ambayo sijaigusa kwenye comment yako ndio maana nikaomba uionyeshe exactly.
 
Kwahiyo kwenye hiyo post Mkuu nimeongelea talaka peke yake?
 
Hapa umejielezea wewe zaidi , naweza kusema huu ni ubinafsi, nataka majibu ambayo yanatugusa wanaume wote kwa namna moja ama nyingine.

Kwanini wanaume wanaonekana kutafuta huruma karne hii baada tu ya kuoa?
Sioni kama wanatafuta huruma, mimi naona wana-expose mfumo ambao tayari umeshakua proved kwamba umefeli. Tulipotaka kusimika usawa wa kijinsia hatukumwambia mwanamke kama usawa utakuja na wajibu sawa. Hatukumwambia mwanamke kuhusu stress na presha za kuwa main character. And now we end up with women who want place of a man, privilege of a waman and responsibility of neither. Tukikumbatia hiyo pattern lazima jamii ianguke. Sasa wanao-expose hicho kitu mimi sioni kama wanalalamika
 
Unaposema tuna wataalamu wa ustawi wa jamii wanaoweza kutupa muongozo, hapa tunadanganyana hadharani.

Hao wataalamu ndio hao hao walioingiza hii ajenda ya feminism kwenye sera zao na ndio waliosababisha huu mvulugano tunaoujadili sasa hivi.

Kutarajia solution kutoka kwa watu waliotengeneza tatizo ni kosa la kimsingi la kimkakati, kama mwanauchumi, unapaswa kujua kuwa crisis management inahitaji targeted actions siyo kukaa na kusubiri social experts.

Kukubali tatizo lipo ni hatua ya kwanza sawa, hatua ya pili ni ipi? Au tutabaki kwenye hatua ya kwanza mpaka kizazi cha watoto wetu kije kikutane na hii tatizo?
 
Watu waliosababisha tatizo wanaweza kuli-solve wakibadilisha mkakati, sema hawataweza kuli-solve tatizo kama wakitumia mkakati ule ule ambao umesababisha tatizo kuwepo. Tukisema tuingiliane kwenye proffesiinalism kesh na kesho kutwa uchumi utaanguka je hiyo maana yake sisi wachumi tukae pembeni tuwaachie computer scientists waje na suluhisho?
 
Here we go again.
Hatimaye mkakutana huku
 
Nani alimpa ruhusa hiyo mwanaume ya kuingia kwenye ndoa na mtu ambaye hakumfanyia vetting ya kutosha kujua kama ana responsibility au la?

Unajaribu kuwatetea hao wanaume kama mashujaa wanaofichua uozo wakati kiuhalisia wengi wao walioa kwa feelings na sasa hivi wanatafuta intellectual justification ya kuficha udhaifu wao wa uchaguzi.

Now days wanaume wana-expose mfumo ili kuficha ukweli kwamba walikosa uwezo wa kusimamia contract ya ndoa, huoni kama hiyo ni coping mechanism ya kiume?
 
Hapa unalinganisha economic policy na social fabric, kwenye uchumi, ukikosea sera unaweza kubadilisha interest rate na uchumi ukawa sawa.

Kwenye jamii, ukivunja natural order ya familia, hauwezi kuirekebisha kwa mkakati mpya wa hao hao walioivunja maana mchakato wa kurejesha maadili ni cultural reformation.

Social experts walioingiza hii feminism hawawezi kuirekebisha kwa sababu foundation yao ni ile ile ya equality at all costs.

Hao social experts hawawezi kubadilisha kitu chochote.
 
Hilo suala halipo kama ambavyo unataka kuliweka. Ndio maana uko juu nikakwambia unapita kwenye tones zile zile za kifeminia. Kutengeneza picha mwanaume aonekane ni villain kwenye kila situation. Kwamba mwanamke asiposoma au asipojua na kipato mwanaume atamnyanyasa, na mwanamke akisoma hawezi kukubali kunyanyaswa yaani mwanamke asome au asisome tayari ushajenga picha villain ni mwanaume tu.

Mwanamke kuwa mama wa nyumbani sioni kama ni manyanyaso. Kumbuka hata mwanaume anaebeba jukumu la kuhudumia familia peke ake sio luxury hiyo, anaenyeka uko nje. Wapo wakinamama wa nyumbani wengi sana wanaishi maisha ya furaha zaidi ya hao wanajiita wapambanaji. Wewe chukua na mama wa nyumbani linganisha na hao feminist utaona nyuso za hawa mama wa nyumbani muda mwingi wanakua na furaha tofauti na mafeminist muda wote wamekasirika kasirika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…