Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,294
- 54,771
Mtoto wa kiume humuelewa baba ake baada ya kustep kwenye viatu vyake au kufikia position alikuwapo baba ake, that when we understandMtu wa kiume humuelewa baba yake pale tu anapooa na kuwa na wategemezi.
Kwamba mwanamke aliesoma akidai talaka moja kwa moja akili yako inakuambia amekimbia manyanyaso? Unapita kwenye tones zilezile za kifeminia. Kumtengenezea mwanaume picha ya kuwa villain kwenye kila situation.Unachosema hapa ni correlation siyo causation, mwanamke yeyote aliyesoma na ana uwezo wa kiuchumi hawezi kuvumilia unyanyasaji au udhalilishaji wa aina yoyote ile anapokuwa kwenye ndoa tofauti na mwanamke ambaye hajasoma, yeye analazimika kuvumilia chochote ili apate kukidhi mahitaji yake ya msingi, na hili kundi la wanawake ndiyo wengi na ndio aina ya wanawake ambao wanaume wengi wanawapenda, mbona liko wazi hili!
Kwa hiyo mimi talaka huwa naiona ni matokeo ya mwanamke kuwa na uwezo wa kutoka nje ya ndoa yenye matatizo.
Wapi hapo?Anzieni hapo Na si the other way around
Wanawake wanaongoza zaidi kudai talaka kwa sababu divorce settlement inawanufaisha. Kuna mgao wa mali, divorce alimony na child supportKwa hiyo mimi talaka huwa naiona ni matokeo ya mwanamke kuwa na uwezo wa kutoka nje ya ndoa yenye matatizo.
Umechukulia serious sana but hiyo sababu nimetoa kama mfano tu.Kwamba mwanamke aliesoma akidai talaka moja kwa moja akili yako inakuambia amekimbia manyanyaso? Unapita kwenye tones zilezile za kifeminia. Kumtengenezea mwanaume picha ya kuwa villain kwenye kila situation.
Haujui kuna wanaovunja ndoa zao kwa divorce settlement inawawezesha kupata mgao wa mali? Haujui kuna wanaovunja ndoa zao kwa sababu wamepata mwanaume mwingine wa status ya juu zaidi kwahiyo anamwona mume wake si hadhi yake tena? Hsujui kuna wanaovunja ndoa zao kwa sababu tu ya ego kwamba sasa nimesoma mume sio muhimu kwangu?
Very sad. Mwanaume anajitoa kwa ajiri ya mke na watoto. Mke anajitoa kwa ajiri ya watoto wake. Watoto wanajitoa kwa ajiri ya mama yaoMwanaume ni mwanafamilia ambaye hulipia nafasi yake kwenye familia aliyoianzisha nwenyewe
Sawa, naomba jibu na ile hoja nyingine iliyopo kwenye post yangu.Wanawake wanaongoza zaidi kudai talaka kwa sababu divorce settlement inawanufaisha. Kuna mgao wa mali, divorce alimony na child support
Kurahisisha hapa , acha kuoa kabisa kuyaepuka yote haya, mbona ni kama mnatafuta huruma?Very sad. Mwanaume anajitoa kwa ajiri ya mke na watoto. Mke anajitoa kwa ajiri ya watoto wake. Watoto wanajitoa kwa ajiri ya mama yao
Hakuna ulazima wa kuwa na familia, usioe kabisa kuyaepuka hayo yote.😢 Alaf mwanaume anasema bado tunawagandamiza how pathetic
Mfano lazima uingie kwenye hoja kwa ujumla wake. Hauwezi kuleta mfano ombao upo nusu nusu na ukataka uelewekeUmechukulia serious sana but hiyo sababu nimetoa kama mfano tu.
Ungejibu hoja iliyo fuata baada ya hapo ingependeza zaidi
Lakini hata wewe umejibu nusu tu ya hoja yangu nzima, unataka kunifanya niamini pengine umeikwepa makusudi.Mfano lazima uingie kwenye hoja kwa ujumla wake. Hauwezi kuleta mfano ombao upo nusu nusu na ukataka ueleweke
Umeitafsiri vibaya self assurance, me naongea kile ambacho nime-experience kwenye maisha yangu na ya wengine baadhi, sipo upande wa wanawake kama unavyo fikiria.Mkuu Mbona unawatetea sana hao viumbe?
Na mbona unaoleta egoic vibes kwenye real life scene?
Mahusiano ya mwanaume na mwanamke ni natural pattern. Hakuna alternative. Unachokisema hapa tutarudi kwenye mabishano mengine ya kati ya mwanaume na mwanamke nani anamuhitaji zaidi mwenzake. Kumbuka tukifika uko kwenye ligi hakuna jinsia itakayoibuka mshindi kiujumla. Victims watakuwepo kila upande. Kwahiyo namna bora zaidi ni kuangalia tunatokaje hapa.Kurahisisha hapa , acha kuoa kabisa kuyaepuka yote haya, mbona ni kama mnatafuta huruma?