Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,326
- 40,527
Nguvu ya kikatiba unafikiri asili yake nini. Yaani wale wale waliobuni mfumo wa kumpa Rais madalaka hayo walifikiria nini? Bila shaka msingi wa fikira zao ulikua huo kwamba kiongozi lazima awe na nguvu zaidi ya anaowaongoza. Unafikiri kwanini wakina mama wengi mtoto akikosea wanamwambia "subiri baba aje" na ni kweli mtoto anaingiwa na uoga. Kilichotokea tu ni kwamba mamlaka ya mwanaume kwenye familia yapo kiasili na mamlaka ya Rais yapo documented. Kwaiyo ukweki mkuu unarudi pale pale kiongozi lazima awe dominant figureMkuu Rais anaheshimika kwa sababu ya institutional power kwa maana ya katiba na sheria, hiyo ni positional authority.
Uongozi wa familia haujengwi na katiba' au sheria ya mabavu isipokuwa unajengwa na relational authority.
Labda niseme hivi uongozi wa familia unahitaji dominance ya kifikra na kimkakati ukijaribu kuiongoza familia kama unavyoongoza nchi utaishia kupata mutiny tu.
Feminism inayopiganiwa ni namba kulingana kijinsia. Haijaingia sana kwenye competence. Hata uko ulaya hali ni hiyo hiyo. Kuna feminist mmoja aliibua hoja wanamichezo wa kike wawe wanalipwa mishahara kulingana na wanamichezo wa kiume. Huyu hoja yake imebase zaidi kwenye ulingano wa namba kuliko uhalisia kwamba michezo kwa upande wa kiume ina mapato makubwa zaidi ukikinganisha na upande wa kike. Leo hii uilete timu nzima ya wanawake ya real madrid hapa bongo icheze pale kea mkapa mapato yake hayawezi kufikia ukubwa wa kumleta Mbappe tu pekee ake acheze pale kwa Mkapa.Nikisema hatujafika peak ya feminist ni pamoja na kutokuelewa suala la usawa wa fursa vs ubaguzi. Ni pamoja na kutokuelewa kuwa fursa zikiwa 20 na wakazipata wanaume tu sababu ya competence na wanawake tukakosa kwasababu ya incompetence si ubaguzi. Kwahivyo kama unaelewa ni kwamba hatujaweza bado kufikia kilele cha feminist, na jamii ambayo haijaelewa feminist to the core ni jamii ambayo haijafika hapo ni jamii ambayo inatawaliwa na Patriachy, au ina chembechembe hizo.
Hata wewe kuminimize feminist vs patriarchy katika aspect moja tu ya fursa ni proof kuwa bado hizi concept mbili hatujazielewa, leave alone kuzipractice by 100 au walau 90.
Nikuulize hivi, kati ya Rais dictator na Rais anayeongoza taifa kwa hekima, maono, na uwezo mkubwa (visionary), yupi ana dominance imara zaidi?Nguvu ya kikatiba unafikiri asili yake nini. Yaani wale wale waliobuni mfumo wa kumpa Rais madalaka hayo walifikiria nini? Bila shaka msingi wa fikira zao ulikua huo kwamba kiongozi lazima awe na nguvu zaidi ya anaowaongoza. Unafikiri kwanini wakina mama wengi mtoto akikosea wanamwambia "subiri baba aje" na ni kweli mtoto anaingiwa na uoga. Kilichotokea tu ni kwamba mamlaka ya mwanaume kwenye familia yapo kiasili na mamlaka ya Rais yapo documented. Kwaiyo ukweki mkuu unarudi pale pale kiongozi lazima awe dominant figure
Kwani Rais asipokua dikteta automatically anakua na maono, na akiwa dikteta automatically anakua rubbish? Mfano Gaddafi kwa mtazamo wa wengi walikua wanamwona dikteta. Je hakua na maono. Libya ya Gaddafi unaweza kuifananisha na Libya ya sasa?Nikuulize hivi, kati ya Rais dictator na Rais anayeongoza taifa kwa hekima, maono, na uwezo mkubwa (visionary), yupi ana dominance imara zaidi?
Sioelewi kwanini watu mnauambatanisha mfumo dume na unyanyasaji, yaani ukisema tu mfumo dume moja kwa moja mtu anavuta picha kwamba ni aina ya maisha ambayo mwanaume anamwendesha na kumnyanyasa mkewe. Hata kwenye zama za patriarchy mbona wanaume wakikua wanafanya mengi tu mazuri. Mfano kumuhudumia mkeo, hivi unafikiri kumuhudumii kwenye maisha yake yote ni jambo dogo. Mpe hilo jukumu mwanamke uone ndani ya mwezi mmoja tu kama hajatema bungo. Infact, hata hao wanawake wenyewe wanajisogeza sehemu ambayo tayari wanaona kuna direction. Hakuna mwanamke atakuja kwako ukiwa hauna mbele wala nyumaKwenye familia au mahusiano ya kawaida dominance imara ya mwanaume huwa haitokani na kumfanya mwanamke awe submissive kama mtoto, isipokuwa kwa kwa kumfanya mwanamke awe aligned na maono yako.
Mwanamke kama partner wako anahitaji kuelewa maono yako kama kiongozi ili aungane na wewe.
Mwanaume lazima uwe na nguvu lakini hiyo nguvu iwe competence ili mkeo/mpenzi wako aone fahari kukufuata, siyo kukuogopa kama mtoto anavyomuogopa baba!
Sasa huyo wa kuwa support system si ndo anapaswa kuwa more feminine?Unafikiri ni mwanaume yupi ana survival rate ya juu zaidi kati ya yule anayeishi na mwanamke ambaye atam-sabotage akiwa down au yule anayeishi na mwanamke imara ambaye anakuwa support system yake wakati akiwa na hali tete?
Mkuu ungenijibu kwa kusema tu ni wa kwanza au wa pili, ningekuelewa zaidi.Sasa huyo wa kuwa support system si ndo anapaswa kuwa more feminine?
Na inatakiwa kuwa yule submissive sio in a wrong way, but kuwa faraja na kujua mpaka yake as a woman with wisdom and integrity
Hoja yangu siyo kupinga patriarchy sijui kwa nini sieleweki hapa, mimi nazungumzia modernized competence.Kwani Rais asipokua dikteta automatically anakua na maono, na akiwa dikteta automatically anakua rubbish? Mfano Gaddafi kwa mtazamo wa wengi walikua wanamwona dikteta. Je hakua na maono. Libya ya Gaddafi unaweza kuifananisha na Libya ya sasa?
Sioelewi kwanini watu mnauambatanisha mfumo dume na unyanyasaji, yaani ukisema tu mfumo dume moja kwa moja mtu anavuta picha kwamba ni aina ya maisha ambayo mwanaume anamwendesha na kumnyanyasa mkewe. Hata kwenye zama za patriarchy mbona wanaume wakikua wanafanya mengi tu mazuri. Mfano kumuhudumia mkeo, hivi unafikiri kumuhudumii kwenye maisha yake yote ni jambo dogo. Mpe hilo jukumu mwanamke uone ndani ya mwezi mmoja tu kama hajatema bungo. Infact, hata hao wanawake wenyewe wanajisogeza sehemu ambayo tayari wanaona kuna direction. Hakuna mwanamke atakuja kwako ukiwa hauna mbele wala nyuma
Bado hatuja elewana mpaka sasaTupe definition ya partnership kama umeikataa hii.
Unajua mnachekesha sana, yaani mmepewa uhuru kila kitu na bado likija swala la nyie kuprovide mnasema mfumo dume, mabavu, na kutaka kuwa diminish..Jamii ili i balance inahitaji mtawala na mtawaliwa, lakini kutumia mabavu sio practical na hakina afya na ndio matokeo yake huu mvutano.
Ili utawale jamii ya kisasa kama tuliyonayo sasa lazima uwe na nguvu ya ushawishi sio mabavu
Naona mkuu umesha Anza kuona picha kamili tunayo imaanisha hapaTuseme tatizo siyo partnership yenyewe bali ni selection criteria, wanaume walio wengi pia huwa wanachagua wanawake kwa surface qualities halafu wanasahau ku-test character ya mwanamke kwenye mambo ya pesa na wajibu kabla ya kufunga ndoa au kuanzisha mahusiano.
Ukimchagua narcissist ambaye anaamini yeye ni malkia bila shaka atakuona unamuonea pale utakapomwambia sijui mambo ya kuchangia ada.
Huyo namjua sana anakuja na psychological game usipo kuwa makini anakuingiza mkengeMkuu ukisoma post yake hapo #166 , kuna sehemu amegusia suala la ushirikishwaji ambalo mimi ndio ninalo lizingumzia, labda tuwe tunatofautiana maana.
Usawa unapaswa kuwa wa pande zote mbili (haki na wajibu).
Hakuna mwanaume anaemuogopa mwanamke anaetaka usawa(kama wapo wanaume hao basi miminsio mmoja wao). Kiujumla ninachotaka kuongelea ni namna ambavyo concept ya kumtaka mwanaume awe main character haipo relevant kwenye ulimwengu wa usawa wa kijinsia. Maelezo yako naona ni kama unapita kwenye imaginary world au tuseme fantasy ya feminists. Tuseme ukweli, familia na jamii kwa ujumla haiwezi kuwa na ustawi mzuri tukimpa mwanamke nguvu sawa au zaidi ya mwanaume katika kufanya maamuzi. Jamii na historia tayari tumeshaona kwamba mwanamke hana hekima, busara na maarifa pale anapokua na nguvu/uhuru wa kufanya/kujifanyia maamuzi.Hoja yangu siyo kupinga patriarchy sijui kwa nini sieleweki hapa, mimi nazungumzia modernized competence.
Tuwe na uanaume ambao unahifadhi hiyo provision and protection kama ulivyosema kuhusu Gaddafi na Libya lakini unaondoa fragility ya kumuogopa mwanamke anayetaka usawa.
Wanaume tunapaswa kuwa visionary bila kuwepo dictatorship, na mwanamke anayekufuata kwa sababu unajua direction yako, huyo ndiye asset na ndiye mtu ambaye hatashindwa kuweka mchango wake mezani akiona unapambana!
Mkuu unajua kuwa piga nyudo kichwani kabisaa hakuna mzaha kwenye hiloMfume dume tayari umeshatokomezwa kwenye jamii nyingi zaidi Afrika. Kinachotokea kwa sasa ni wanaume kuwa-outperfom wanawake. Ndio maana tunaona wanawake mnataka upendeleo kwa kigezo cha usawa wa kijinsia mfano hizi harakati zenu za mwanamke akiwezeshwa anaweza. Ushapewa fursa sawa na mwanaume kwanini unataka upendeleo wa kiwezeshwa?
Kwenye harakati zenu za kutaka usawa kuna sehemu mnapotoka kidogo. Mnatafsiri usawa kama ulingano idadi ya wanaume na wanawake kwenye kila kitu. Kitu ambacho hampo sahihi. Usawa maana yake vigezo viwekwe wazi na kila mtu apate nafasi kulingana na uwezo wake.
Mfano kuna wanawake 50 na wanaume 50, na nafasi za kazi zipo 50. Nyie mmekalili usawa wa kijisnia ni lazima wanaume wawe 25 na wanawake 25.kitu ambacho sio sahihi. Usawa hapo ni kuweka vigezo vinavyohitajika na nafasi zitolewe bila kujali jinsia ya mtu. Kwa sababu wanaume wanawa-outperfom wanawake kwenye almost kila kitu sasa hapo wakipata nafasi wanaume 40 na wanawake 10 ndio mnasema ubaguzi wa kijinsia lakini unakuta hao wanaume wamepata nafasi kwa sababu ni competent zaidi.
Naam, hili nalifahamu vyema Mkuu.Naona mkuu umesha Anza kuona picha kamili tunayo imaanisha hapa
Ila inapaswa kujua mzizi wa fitina
Sio sisi, ni wao....
I nahitaji mwanaume mwenye strong mind kujua, parasite, kujua narcissist, na hao narcissist tunao waongelea ndo hawa waliomezeshwa psychological indoctrination
Na wanawatumia wanaume weak kuwa manipulate kwamba wanwakandamiza just to use them..
Maelezo yako naona ni kama unapita kwenye imaginary world au tuseme fantasy ya feminists. Tuseme ukweli, familia na jamii kwa ujumla haiwezi kuwa na ustawi mzuri tukimpa mwanamke nguvu sawa au zaidi ya mwanaume katika kufanya maamuzi.
Mkuu asipo elewa hapa pia basi kwishneiJamii na historia tayari tumeshaona kwamba mwanamke hana hekima, busara na maarifa pale anapokua na nguvu/uhuru wa kufanya/kujifanyia maamuzi.
Hoja yangu siyo kwamba mwanamke awe main character au awe na nguvu sawa na mwanaume.Hakuna mwanaume anaemuogopa mwanamke anaetaka usawa(kama wapo wanaume hao basi miminsio mmoja wao). Kiujumla ninachotaka kuongelea ni namna ambavyo concept ya kumtaka mwanaume awe main character haipo relevant kwenye ulimwengu wa usawa wa kijinsia. Maelezo yako naona ni kama unapita kwenye imaginary world au tuseme fantasy ya feminists. Tuseme ukweli, familia na jamii kwa ujumla haiwezi kuwa na ustawi mzuri tukimpa mwanamke nguvu sawa au zaidi ya mwanaume katika kufanya maamuzi. Jamii na historia tayari tumeshaona kwamba mwanamke hana hekima, busara na maarifa pale anapokua na nguvu/uhuru wa kufanya/kujifanyia maamuzi.
If a man should lead, a woman should be willing to follow. Je feminism inawaambia hivyo wanawake? Jibu ni hapana. Tumefika wakati ambao mwanaume anahitajika ku-realese ile dominant figure(wewe umehiita ni ukandamizaji) yake kama kiongozi ili mambo yaende yarudi kwenye mstari. Maana imeshaonekana demokrasia(usawa wa kijinsia) imetufelisha
Kwanini naona ni kama unataka kila unachokisema kieleweke na kila mtu hata kama kina mapungufu?Sasa kinacho Fanya usione ni nini haswa?
Mkuu let go of all terms and labels the answer is plane clear