Huyu anaomba ninii?

Huyu anaomba ninii?

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
282962_412963188774458_1562441344_n.jpg
 
atakuwa alisia kilicho mpata giLESi usingizini!!anajihami asiote anaingiliwa!!
 
Last edited by a moderator:
Mtaani kwao kuna Popobawa, anaomba Mungu amuepushe asije akamwingilia.
 
Na alieipiga picha hii atakua anaomba nini?
 
Huyu bila Shaka anamwomba Mungu ampatie mme mwema.maana inaonyesha Kama Yuko single.

Mimi ndie mwanaume mwema pekee ninaemfaa! Katoto kametulia, hata kama ulikuwa hupendi kusali hapa lazima usali tu ili upendo usipungue!
 
Wewe unadhani anaomba nini na kwa nini? Je alifanikiwa kupata kile alichoomba? Je kuna haja ya kujua alichokuwa akiomba? Je swali lako laweza kumsaidia yeye au mwana JF nini? Je mbuzi nao huwa wanaomba? Je ni kweli kuwa mbuzi wanapenda sana muziki? Ukiwapigia gitaa wanajisikiaje? Je majani ni matamu kama vyakula vingine? Je mbuzi nao huwa wana majonzi na mawazo kama sisi binadamu? Wanasemaje kuhusu kuliwa na binadamu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom