Huyu anaomba ninii?

Huyu anaomba ninii?

Wewe unadhani anaomba nini na kwa nini? Je alifanikiwa kupata kile alichoomba? Je kuna haja ya kujua alichokuwa akiomba? Je swali lako laweza kumsaidia yeye au mwana JF nini? Je mbuzi nao huwa wanaomba? Je ni kweli kuwa mbuzi wanapenda sana muziki? Ukiwapigia gitaa wanajisikiaje? Je majani ni matamu kama vyakula vingine? Je mbuzi nao huwa wana majonzi na mawazo kama sisi binadamu? Wanasemaje kuhusu kuliwa na binadamu?

Hayo maswali Father of All nahisi unaelekea kuwa mwanasayansi
 
Last edited by a moderator:
Wewe unadhani anaomba nini na kwa nini? Je alifanikiwa kupata kile alichoomba? Je kuna haja ya kujua alichokuwa akiomba? Je swali lako laweza kumsaidia yeye au mwana JF nini? Je mbuzi nao huwa wanaomba? Je ni kweli kuwa mbuzi wanapenda sana muziki? Ukiwapigia gitaa wanajisikiaje? Je majani ni matamu kama vyakula vingine? Je mbuzi nao huwa wana majonzi na mawazo kama sisi binadamu? Wanasemaje kuhusu kuliwa na binadamu?


Siwezi kudhani kwa kitu ambacho sijui au fahamu. It is against law kudhania vitu huku ukijua dada yetu alikuwa anaomba. Ningejuwa kuwa alifanikiwa, then I wouldn't ask huyu anaomba nini. Swali langu limeenda shule na kubaki kuwa thesis. Je, huyu anaomba nini? Heeh, Mbusi huwaga wanatuswalia kabla ya kutangulizwa kwa Mnyaazi M, ndio maana Mbuzi anauliza bin adam, huyu anaomba nini? Mbuzi wanapenda Musiki, kawauliza wa Gikhuyu watakueleza kwanini Mbusi akiliwa huwa wanapiga Katitu. A dead body doesn't speak na huwa hatuna moral issues, hivyo kuliwa ni kama utamaduni.

Sasa huyu kiumbe alikuwa anaomba nini?
 
282962_412963188774458_1562441344_n.jpg

mkia uooo..eeh tikisa mukia😛
 
Anaomba uumbaji utakapofanyika kwa mara ya pili.,yeye awe mwanaume kwakuwa amechoshwa na mausumbufu ya wanaume kila kukicha.,akiwa kwenye daladala anaombwa mzigo na abiria wa kiume,akiwa kazin anaombwa mzigo na co workers na maboss,akiwa nyumbani majirani wanaomba pia ila mbaya kuliko zote akiwa usingizini analiwa mzigo bila ridhaa yake na mtu hamuoni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom