Je, kuzaliwa mwanaume ni mateso?

Je, kuzaliwa mwanaume ni mateso?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,180
Reaction score
64,251
Jinsia ya kike​
  • Akiwa mdogo anaomba hela kwa wazazi​
  • Akiwa mkubwa (miaka 18+) anaomba hela kwa rafiki yake wa kiume​
  • Akiolewa anaomba hela kwa mume​
  • Akizeeka anaomba hela kwa watoto wake​
Jinsia ya kiume​
  • Akiwa mdogo anaomba hela kwa wazazi​
  • Akiwa mkubwa (miaka 18+) anapamabana mwenyewe kupata hela​
  • Akioa, anapamabana mwenyewe kupata hela​
  • Akizeeka, bado anapamabana mwenyewe kupata hela​
Je, kuzaliwa mwanaume ni mateso?

dz.jpg
 
Jinsia ya kike:
Nusu kufa kule kwenye kujifungua, ni hatari tosha iendelee kupewa hela na kupendwa mda wote bila kujali mapungufu yake...

Kesho mnikumbushe nimtumie mama yangu elfu 15 bila sababu🙆🙆
 
Jinsia ya kike:
Nusu kufa kule kwenye kujifungua, ni hatari tosha iendelee kupewa hela na kupendwa mda wote bila kujali mapungufu yake...

Kesho mnikumbushe nimtumie mama yangu elfu 15 bila sababu🙆🙆
Kama una uchungu kweli, kwa nini mpenzi wako atumie zaidi hela kuliko mama yako?
 
Back
Top Bottom