Huyu ananipenda kweli au ndo walewale?

Huyu ananipenda kweli au ndo walewale?

Du mi ningekupata mwanamke kama we we mbona raha....u seem to serious pole bwana that how Men are, SEX worth a lot to them ucwavulie ngue kirahic....
WISH U COME TO ME, THERE WILL BE NO MORE TEARS

Thanks bro iknow this is a pass kama sio riziki yangu najua Mungu ataniondoshea mbali.
 
Keep away! Fanya mambo yako hakuna ubize kwenye mapenzi ndugu yangu asikudanganye mtu...ka gairi
LOVE TAKES TIME hana mda na wewe
Hapa umesema kitu wangu but the truth remain wanaume sijui mmeumbwaje? But ithank God najua kaniepushia mengi.
 
aiyaa ndo ulishaliwa hivo.unajua kitu inaitwa hit and run? ndo icho kilichokukuta.pole sana lakini.alikuwaje lakini maana naona alikuchanganya hadi unabipiwa wewe unapiga tu daily sio mchezo

una muongeza maumivu sasa......may be alikuta yuko "too much used"
 
We ladypeace!!! Are sure of ur jf name real suites yu?
Kama unapenda amani kweli..em usijipe stress mdogo wangu..
Achana nae kwani nduguyo uyo?
Umempa kakimbia.. Anae wake wa permanent na alikutamani tuu apate anachotaka.. We mpotezeee ... Ur better than him..ur confident than him.. He is such a coward moron..
Go on..move on with ya life..hajui unapumuaje.. Akuwache nawe muwachee...

Aiseee,kama unapiga mtu makofi hivi.
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na kuwa jibu bado unataka jibu? Yaani hujagundua kuwa unageuzwa buzi la kuchunwa? Je wewe ni mgeni katika mambo haya au hujaenda jando? Akuonyesha nini ili ujue unavyogeuzwa mradi kama siyo bwegeee mwanangu? Usishangae kukuta kuna anaowapigia tena wakachonga kwa masaa.
Heshima zenu wakuu,
Mimi nilipata mpenzi miezi 4iliyopita tukaonana tukaongea na kukubaliana kuanza ukurasa wa mapenzi.
Ajabu tokea tuwe inlove yeye always ni mtu wa kunibeep tu au kupiga akaomba kupigiwa tu nimemvumilia nikijua labda hakuwa na hella mwezi huo badae mkaona always ndo stairi hiyohiyo.
Mbaya zaidi hajibu massage hata siku moja na ukimpigia kumuuliza anakwambia ohh niko busy na chuo ohh mala nimebanwa na kazi.
Baada ya kuona nimechoshwa na hiyo tabia nikamweleza nikitegemea atabadilika mhh tena ndo kazidi.Mimi nikaamua kukaa kimya nae kakaa kimya almost wiki 2 sasa.nisaidieni huyu mtu ananipenda au nimeingia choo cha kiume?
 
Du mi ningekupata mwanamke kama we we mbona raha....u seem to serious pole bwana that how Men are, SEX worth a lot to them ucwavulie ngue kirahic....
WISH U COME TO ME, THERE WILL BE NO MORE TEARS

Yallah
 
Jivue pendo mumy... Me nashangaa sana, wenye mapenzi ya kweli wanadate na magudegude, na magudegude nao hawakutani na magubegube wenzio, wanawadate wenye mapenzi ya kweli, ama kweli dunia kizungumkuti...
 
Anyway, ladypeace ,achana na mawazo ya mapenzi.
Seems wadada siku hizi mko desperate sana kuolewa,ndo maana
ili umpate binti haraka we mdanganye tu "NITAKUOA",...ume maliza kazi.

Ushauri wangu,Leo Ijumaa,01/02/2013,...njoo kwenye event ya Friends on Friday (FoF)
Pale sinza,Princes Hall,...utakutana na marafiki wazuri kama Smile ,
Ila kama ni kweli umetendwa,ukifika muulizie mtu anaitwa "Rose Mushi",
ata kusaidia kwa ushauri mzuri sana,utapata burudani pia,hauta jutia mda wako.

Elf20 tu ndio kiingilio chako.
 
Last edited by a moderator:
Heshima zenu wakuu,
Mimi nilipata mpenzi miezi 4iliyopita tukaonana tukaongea na kukubaliana kuanza ukurasa wa mapenzi.
Ajabu tokea tuwe inlove yeye always ni mtu wa kunibeep tu au kupiga akaomba kupigiwa tu nimemvumilia nikijua labda hakuwa na hella mwezi huo badae mkaona always ndo stairi hiyohiyo.
Mbaya zaidi hajibu massage hata siku moja na ukimpigia kumuuliza anakwambia ohh niko busy na chuo ohh mala nimebanwa na kazi.
Baada ya kuona nimechoshwa na hiyo tabia nikamweleza nikitegemea atabadilika mhh tena ndo kazidi.Mimi nikaamua kukaa kimya nae kakaa kimya almost wiki 2 sasa.nisaidieni huyu mtu ananipenda au nimeingia choo cha kiume?

Ulisha Mpa Hiyo K? Kama Ndivyo Basi Shukuru Mungu Then Unitafute, Nahitaji Mwenye Mapenzi ya dhati Kama wewe. I Love You Saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana!
 
Heshima zenu wakuu,
Mimi nilipata mpenzi miezi 4iliyopita tukaonana tukaongea na kukubaliana kuanza ukurasa wa mapenzi.
Ajabu tokea tuwe inlove yeye always ni mtu wa kunibeep tu au kupiga akaomba kupigiwa tu nimemvumilia nikijua labda hakuwa na hella mwezi huo badae mkaona always ndo stairi hiyohiyo.
Mbaya zaidi hajibu massage hata siku moja na ukimpigia kumuuliza anakwambia ohh niko busy na chuo ohh mala nimebanwa na kazi.
Baada ya kuona nimechoshwa na hiyo tabia nikamweleza nikitegemea atabadilika mhh tena ndo kazidi.Mimi nikaamua kukaa kimya nae kakaa kimya almost wiki 2 sasa.nisaidieni huyu mtu ananipenda au nimeingia choo cha kiume?

huyo alipokuona tu akakata tamaa ya kukupenda kwan matarajio yake hayakufikiwa. alidhani ww u mrembo ka Jlo kumbe humfikii hata bi.kiroboto. nakushauri achana nae uje kwangu mie kipofu, nachojali ni utamu tu si shepu wala sura
 
haaaa na itakuwa ndo maana kumbe kakimbia maana sio real men na sio type yangu .mimi namtaka mme sio mwanaume !ukiwa mwanaume kwangu utachemsha sina haraka nae ila nilitaka fahamu tu.
 
Anyway, ladypeace ,achana na mawazo ya mapenzi.
Seems wadada siku hizi mko desperate sana kuolewa,ndo maana
ili umpate binti haraka we mdanganye tu "NITAKUOA",...ume maliza kazi.

Ushauri wangu,Leo Ijumaa,01/02/2013,...njoo kwenye event ya Friends on Friday (FoF)
Pale sinza,Princes Hall,...utakutana na marafiki wazuri kama Smile ,
Ila kama ni kweli umetendwa,ukifika muulizie mtu anaitwa "Rose Mushi",
ata kusaidia kwa ushauri mzuri sana,utapata burudani pia,hauta jutia mda wako.

Elf20 tu ndio kiingilio chako.

Asante mpendwa wangu natamani ningekuja hapo ila niko mkoa kidogo maana baada ya kukwazika niliamua kutafuta rilief kidogo mkatoka nje ya mkoa.ningependa jua ratiba zenu ili nijiunge nanyi nipate new company.
 
Last edited by a moderator:
Jivue pendo mumy... Me nashangaa sana, wenye mapenzi ya kweli wanadate na magudegude, na magudegude nao hawakutani na magubegube wenzio, wanawadate wenye mapenzi ya kweli, ama kweli dunia kizungumkuti...

Asante wangu nimelivuaje ? Sasa hivi niko tu najipanga na life maana naona sasa ninabahati mbaya nayo.
 
Pamoja na kuwa jibu bado unataka jibu? Yaani hujagundua kuwa unageuzwa buzi la kuchunwa? Je wewe ni mgeni katika mambo haya au hujaenda jando? Akuonyesha nini ili ujue unavyogeuzwa mradi kama siyo bwegeee mwanangu? Usishangae kukuta kuna anaowapigia tena wakachonga kwa masaa.

Bahati mbaya sikwenda jando wa kwetu na kwakweli siko mwenyeji sana kwa maswala ya leration .Asante ndo mshatolewa kafara hivo .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom