kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 6,311
- 9,628
mimi ni msichana ninampenzi nampenda ila anitumie msg ,hanipigia anaweza kukaa hata wk hanitafuthi mpaka mimi nimtafute .unawezakuta namtumia msg hajibu nikumuliza mbona kimya anadai mambo mengi.akijajibu msg bada ya sik mbili anadi nisijali yupo pammoja na mimi ananipenda na mim ndiye mke wak.juzi nilimpigia alinimbia nitafute SIKU TUKAE TUONGEE ILI MWAKANI AKANITAMBULIshe.naombeni ushaur wana jf wenzang.je ananipenda kweli au ananidanganya