ladypeace
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 935
- 507
- Thread starter
- #41
Asante bhana kama umeniona na wewe mi kipofu tulikuwa wote pamoja bongo hii siku za mwanzo alikuwa atirist sio kama hivo but nilijua as tunaendelea ntamwambia ninavotaka anitreat atabadilika but as siku zimeenda na baada ya kumwambia kawa worse zaidi.Yaani hali hiyo unakuja kuuliza kama umekwama au vipi?, kweli we kipofu.
Pole sana. Ila swali la kizushi mlikutana wapi?, siku za mwanzo zilikuaje?, alipiga mambo yake?
Unajua kama mtu hakutaki akipiga mambo tu baaaas kwisha kwishnehi!