pole sana, sometime we think of the once who dont have even single minute to think about us, potezeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!Heshima zenu wakuu, Mimi nilipata mpenzi miezi 4iliyopita tukaonana tukaongea na kukubaliana kuanza ukurasa wa mapenzi. Ajabu tokea tuwe inlove yeye always ni mtu wa kunibeep tu au kupiga akaomba kupigiwa tu nimemvumilia nikijua labda hakuwa na hella mwezi huo badae mkaona always ndo stairi hiyohiyo. Mbaya zaidi hajibu massage hata siku moja na ukimpigia kumuuliza anakwambia ohh niko busy na chuo ohh mala nimebanwa na kazi. Baada ya kuona nimechoshwa na hiyo tabia nikamweleza nikitegemea atabadilika mhh tena ndo kazidi.Mimi nikaamua kukaa kimya nae kakaa kimya almost wiki 2 sasa.nisaidieni huyu mtu ananipenda au nimeingia choo cha kiume?
Asante mpendwa wangu natamani ningekuja hapo ila niko mkoa kidogo maana baada ya kukwazika niliamua kutafuta rilief kidogo mkatoka nje ya mkoa.ningependa jua ratiba zenu ili nijiunge nanyi nipate new company.
Love sio sex ila sex nipart ya love.
Hapa kwa kweli siwezi ongea sana maana issue ya kujua ni mefika au sijafika mwenzio mtihani mi nafanya tu .Vipi lakini kwenye game anakufikisha kileleni? maana hiyo ndo sifa kubwa ya mwanaume, maana kuna mwingine anakupenda sana lakini ni hanisi! vipi hapo????????????????????????
Sawa,lakini hiyo love ni nini sasa kama sex ni sehemu ya love?
Swali langu liko hivi kama Dar es salaam (Sex) sio Tanzania (Love),
Tanzania ni nini?
Tip: Elezea kwa undani.
Haha haa.. We MKATA KIU unaleta masikhara kwenye maswala yanayoumiza mioyo ya watu.
Mleta mada .. Mapenzi ni two way trafiki lol.. Nipe nikupe, nijali nikujali.... Kama huyo hataki ku comunicate sa mnapendana nini???
Mimi ni mdada mcha Mungu na muelewa pia najua thamani ya penzi zaidi ya unavozania idid everything possible kumpenda na kumwonyesha pia kama nampenda na kumhitaji lakini ndo hivo.Hadi naiandika hii issue hapa jua nimetumia akili ya kuzaliwa na uelewa nikachemsha that's why mkaomba msaada.mi naamini kwa mpenzi wako unaempenda hakuna chochote kisichona mashiko kila akitoacho ni thamani kwako.
mmmmh !!! aiseee pole sana, nilikuwa sijagundua hili.. wewe ni mdada, so boyfriend wako ndo mwenye tabia za kubeep? Aiseee ngumu kumesaaaaa!
una bahati mbaya au yeye ndo anabahati mbaya....huyo ni pambaf na nusu....anapata mtu mwenye malengo na mwelekeo anajishongondoa we ngoja atapata m-chuo mwenzie wee ataisoma...na ataempata au alie nae atachukuliwa na mwingine af atajuta...hayo ya kawaida zaid shukuru umegundua means umesolve....asante wangu nimelivuaje ? Sasa hivi niko tu najipanga na life maana naona sasa ninabahati mbaya nayo.
haaaa na itakuwa ndo maana kumbe kakimbia maana sio real men na sio type yangu .mimi namtaka mme sio mwanaume !ukiwa mwanaume kwangu utachemsha sina haraka nae ila nilitaka fahamu tu.