Yaani nakushukuru ulinishtua nkashtuka analudi ubusy umeisha mi kitambo si wakestuka bibie,hapo hakuna kitu.
mwanaume gani wa kujifanya yupo busy hadi anakusahau......kiufupi hilo ni zigo tena la miiba na km ni chaka basi ni pori kbs,stuka kabla hujapotelea humo porini.
Hahahaha haya banaHaaaa nilimtoa moyoni nkamtia kwenye miguu nilivotembea akaangukia kule
Huko sasa ni kutanga tanga.. wewe unataka nini haswa kwa Mwanaume?Uwiiii ndo maana natafuta mtu mzima sasa 45+
Nimekuja kukushukuru kwa kanuni hii kwa kweli inafanya kazi fasta ubarikiwe sanaYaani ni kwamba haupo moyoni wala akilini mwake...sasa wewe cha kufanya delete kila kitu kumhusu then msahau milele, nina kanuni ndogo huwa naitumia waeza itumia pia..'mtu akikukataa na wewe mkatae' .
Haaaaaa jamani mtu anastress ila unaamua uziondoe kwa stairi hii haaaa umenishinda tabia mkuudah kama keshakula tumbua basi tena kaona sukari haikuwekwa ndo maana hataki tena...pole mama...jaribu mie mwenye kisukari nakulaga vitumbua sukariless
Sikutegemea chochote toka kwake mkuu mi nikipenda napenda maana amli ya kupenda tumepewa na Muumba sasa nashangaa wanaume ukimpenda mtu wa kawaida analeta nyodo ukipenda vibopa ohhh kapenda pochi jamani ndo maana nasema moyo sukuma damu tuWanachuo hawana hela, kama ulikuwa unategemea chochote hesabu ni zero Mama. Don't love to that much extent