Huyu ananipenda kweli au ndo walewale?

Huyu ananipenda kweli au ndo walewale?

Haaaa wacha nifunge mjadala jamani sina mahusiano nae nilimtia takoni alivoendelea mkajitingisha akaangukia kule nkatema mate pyuuuuu
 
Mwenzangu si bora angekuwa mwanafunzi? Ni mfanyakazi na huku anasoma ajitia ubusy mda wote utadhani time keeper.mhh nimedanganywa mkadanganyika!
Mpaka akukope papuchi ndo utashtuka...🙁 🙄 😵
 
Heshima zenu wakuu,
Mimi nilipata mpenzi miezi 4iliyopita tukaonana tukaongea na kukubaliana kuanza ukurasa wa mapenzi.
Ajabu tokea tuwe inlove yeye always ni mtu wa kunibeep tu au kupiga akaomba kupigiwa tu nimemvumilia nikijua labda hakuwa na hella mwezi huo badae mkaona always ndo stairi hiyohiyo.
Mbaya zaidi hajibu massage hata siku moja na ukimpigia kumuuliza anakwambia ohh niko busy na chuo ohh mala nimebanwa na kazi.
Baada ya kuona nimechoshwa na hiyo tabia nikamweleza nikitegemea atabadilika mhh tena ndo kazidi.Mimi nikaamua kukaa kimya nae kakaa kimya almost wiki 2 sasa.nisaidieni huyu mtu ananipenda au nimeingia choo cha kiume?
Mwanaume akikuambie yuko busy maana yako he is not interested with you!
Mwanaume ukiona anaomba salio au pesa ndan ya mapenz mabichi ujue hana malengo na wewe!
Ukiona hajibu msg ujue hana hamu na wewe!
Kiufupi hakuna mwanaume busy mbele ya mwanamke anayempenda! Hilo sahau kabsa!
 
hauko peke yako mim amenigeuza phonecaller wake ..kumbe hanipendi aisee..nilikuwa sijui...kama amewahi nipigia mara tano tu ...unaweza mpigia unakuta yupo bize lakin harudi kukupigia...sijui ameniloga ...au ?
 
Mwanaume akikuambie yuko busy maana yako he is not interested with you!
Mwanaume ukiona anaomba salio au pesa ndan ya mapenz mabichi ujue hana malengo na wewe!
Ukiona hajibu msg ujue hana hamu na wewe!
Kiufupi hakuna mwanaume busy mbele ya mwanamke anayempenda! Hilo sahau kabsa!

umenena vyema unakunywa kinywaji gani vile?
 
Heshima zenu wakuu,
Mimi nilipata mpenzi miezi 4iliyopita tukaonana tukaongea na kukubaliana kuanza ukurasa wa mapenzi.
Ajabu tokea tuwe inlove yeye always ni mtu wa kunibeep tu au kupiga akaomba kupigiwa tu nimemvumilia nikijua labda hakuwa na hella mwezi huo badae mkaona always ndo stairi hiyohiyo.
Mbaya zaidi hajibu massage hata siku moja na ukimpigia kumuuliza anakwambia ohh niko busy na chuo ohh mala nimebanwa na kazi.
Baada ya kuona nimechoshwa na hiyo tabia nikamweleza nikitegemea atabadilika mhh tena ndo kazidi.Mimi nikaamua kukaa kimya nae kakaa kimya almost wiki 2 sasa.nisaidieni huyu mtu ananipenda au nimeingia choo cha kiume?
aa50ecb6c9f0120645c3e8cfc200b3a4.jpg

Hence: Proved
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom