ladypeace
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 935
- 507
Heshima zenu wakuu,
Mimi nilipata mpenzi miezi 4iliyopita tukaonana tukaongea na kukubaliana kuanza ukurasa wa mapenzi.
Ajabu tokea tuwe inlove yeye always ni mtu wa kunibeep tu au kupiga akaomba kupigiwa tu nimemvumilia nikijua labda hakuwa na hella mwezi huo badae mkaona always ndo stairi hiyohiyo.
Mbaya zaidi hajibu massage hata siku moja na ukimpigia kumuuliza anakwambia ohh niko busy na chuo ohh mala nimebanwa na kazi.
Baada ya kuona nimechoshwa na hiyo tabia nikamweleza nikitegemea atabadilika mhh tena ndo kazidi.Mimi nikaamua kukaa kimya nae kakaa kimya almost wiki 2 sasa.nisaidieni huyu mtu ananipenda au nimeingia choo cha kiume?