MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,481
- 8,592
Ndio nshatoka nae onetime
Kumbee ndo maana gesi imemchanganya sana
Ndio nshatoka nae onetime
aiyaa ndo ulishaliwa hivo.unajua kitu inaitwa hit and run? ndo icho kilichokukuta.pole sana lakini.alikuwaje lakini maana naona alikuchanganya hadi unabipiwa wewe unapiga tu daily sio mchezoNdio nshatoka nae onetime
aiyaa ndo ulishaliwa hivo.unajua kitu inaitwa hit and run? ndo icho kilichokukuta.pole sana lakini.alikuwaje lakini maana naona alikuchanganya hadi unabipiwa wewe unapiga tu daily sio mchezo
Thanks but do u think he is real man in such behaviour.
Sikatai but ili nijue tatizo langu natakiwa kuambiwa na mtu especial yeye kama mimi nilivoona tatizo nikamwambia but akikaa kimya mie siwezi jua ili nijilekebishe.ladypeace,hata wewe utakuwa na matatizo pia.Mtu hupenda kwa sababu;huacha kwa sababu.Jichunguze vyeme na ujirekebishe.Kwa ushauri zaidi,ni-pm
Nani awezae kujua matatizo ya mwingine kama si yake mwenyewe? Hakuna uwezekano wa mtu kukueleza matatizo yako na wewe ukaridhia kujirekebisha. Si ni wewe ambaye hufeel kudo? Nalo ni tatizo. Halafu,marekebisho mtu haambiwi;huyafanya mwenyeweSikatai but ili nijue tatizo langu natakiwa kuambiwa na mtu especial yeye kama mimi nilivoona tatizo nikamwambia but akikaa kimya mie siwezi jua ili nijilekebishe.
yaani huko umekosea!!njoo huku tukudekeze!!!Mkata kiu jamani yaani mambo ya kijamii yamsababishe anisahau mimi?
Umeongea vyema sana mkuu lakini kumbuka upendo ni zaidi ya haya unapompenda mtu hata kama anatatizo yu can't run zaidi utakaa na kujalibu kuongea nae kutafuta suruhu yake maana unampenda ukishaona unaona wekness ya mpenzi wako unakimbia basi hiyo ni tamaa na sio penziNani awezae kujua matatizo ya mwingine kama si yake mwenyewe? Hakuna uwezekano wa mtu kukueleza matatizo yako na wewe ukaridhia kujirekebisha. Si ni wewe ambaye hufeel kudo? Nalo ni tatizo. Halafu,marekebisho mtu haambiwi;huyafanya mwenyewe
Nani kakuambia kuwa jamaa amekimbia? Labda amekupa nafasi ujirekebishe...Umeongea vyema sana mkuu lakini kumbuka upendo ni zaidi ya haya unapompenda mtu hata kama anatatizo yu can't run zaidi utakaa na kujalibu kuongea nae kutafuta suruhu yake maana unampenda ukishaona unaona wekness ya mpenzi wako unakimbia basi hiyo ni tamaa na sio penzi
Yupo bize anakutengenezea futute. Kua mvumilivu uje kula mbivu.