Huyu ananipenda kweli au ndo walewale?

Huyu ananipenda kweli au ndo walewale?

Mmmh.... Wanaume wengine jamani..!

Ila jamani wadada tuwage tunasoma signs za mwanzoni mwanzoni tuu..
Ukiona tuu mwanaume hasomeki mwanzoni yaani muache mapeema kabla hajakuacha wewe..!
 
Pole dada yangu sasa kwa kukusaidia tu ni kwamba ni PM halafu unipe namba mi nitakuonyesha jinsi ya kupenda.watu wengine hawajui maana ya kupenda na kupendwa inaleta shida sana hii

Asante kwa ofa yako mkuu.
 
kwanza kabisa,we kama wwe unajiskia dhamira yako inakutuma nni?Waweza kuwa unajaribiwa mtoto,ukafuata hzo post hapo juu ukakosa rizk.Wanaume tulio wengi ndani na nje ya ndoa hatukosi MATATIZO.Uvumilivu ni muhmu dada angu,Ebu muweke kwenye probation period,at least 2months uone result.Angalia usiruke Mkojo uka.....
 
Mmmh.... Wanaume wengine jamani..!

Ila jamani wadada tuwage tunasoma signs za mwanzoni mwanzoni tuu..
Ukiona tuu mwanaume hasomeki mwanzoni yaani muache mapeema kabla hajakuacha wewe..!
Mamy unajua kinachotuponza ni kuwa tumeumbiwa mapenzi ya dhati unakuwa mvumilivu ukijua utamsahauri abadilike lakini mhh unakuwa unawaza labda yeye ni mkweli kumbe same track.
 
kwanza kabisa,we kama wwe unajiskia dhamira yako inakutuma nni?Waweza kuwa unajaribiwa mtoto,ukafuata hzo post hapo juu ukakosa rizk.Wanaume tulio wengi ndani na nje ya ndoa hatukosi MATATIZO.Uvumilivu ni muhmu dada angu,Ebu muweke kwenye probation period,at least 2months uone result.Angalia usiruke Mkojo uka.....

Asante kaka kwa ushauri mpaka sasa mie niko empty feelings ila mhh kama majalibu basi haya yanakimbilia ya Yesu jangwani anyway ntaufanyia kazi ushauri wako.
 
Mamy unajua kinachotuponza ni kuwa tumeumbiwa mapenzi ya dhati unakuwa mvumilivu ukijua utamsahauri abadilike lakini mhh unakuwa unawaza labda yeye ni mkweli kumbe same track.

My dear, hata mimi zamani nilikuwa na mawazo hayo hayo..!
Ila baada ya kunikuta yaliyonikuta saivi nikiona mwanzoni tuu haeleweki, nasepa haraka saaaana..!
 
Ndiyo zetu sisi maplayer,sikufukuzi moja kwa moja kwani nitakuwa narudirudi nikijiskia...endelea kunisikilizia,nitakuja kubeep tena na tena!
 
My dear, hata mimi zamani nilikuwa na mawazo hayo hayo..!
Ila baada ya kunikuta yaliyonikuta saivi nikiona mwanzoni tuu haeleweki, nasepa haraka saaaana..!

Naona tu nami yamenishinda sasa naanza sasa tumia idea yako maana nimechoka mpaka bsi.
 
kwanza kabisa,we kama wwe unajiskia dhamira yako inakutuma nni?Waweza kuwa unajaribiwa mtoto,ukafuata hzo post hapo juu ukakosa rizk.Wanaume tulio wengi ndani na nje ya ndoa hatukosi MATATIZO.Uvumilivu ni muhmu dada angu,Ebu muweke kwenye probation period,at least 2months uone result.Angalia usiruke Mkojo uka.....
 
yah!umeongea point hapo hakuna upendo na hizo ndio za wanachuo,nina shost wangu nae ilikua hivyo daily ikabidi aachie ngazi tu!kimbia mama alikua na ww kwa makusudi maalum hakuna upendo hapo!
 
Asante wangu kunifungua akili siwajua mapenzi upofu.

sidhani kama kuna upofu hapo ni kuendekeza kumfikiria mtu akati una mambo ya kufanya katika maisha yako.Men tupo wengi sana,kwa dalili hizo huyo jamaa ana mtu mwngne.!
 
Asante nimeona sasa!
 
yah!umeongea point hapo hakuna upendo na hizo ndio za wanachuo,nina shost wangu nae ilikua hivyo daily ikabidi aachie ngazi tu!kimbia mama alikua na ww kwa makusudi maalum hakuna upendo hapo!

Asante wangu mbona fasta .
 
Pole dada yangu sasa kwa kukusaidia tu ni kwamba ni PM halafu unipe namba mi nitakuonyesha jinsi ya kupenda.watu wengine hawajui maana ya kupenda na kupendwa inaleta shida sana hii

Asante kwa ofa yako mkuu!
 
ah wee ulishagegedwa tulia pembeni mwenzio ameshakuweka kwebye black buk yake....u may luk for love but if u continue that way utaishia megwa dada
 
Keep away! Fanya mambo yako hakuna ubize kwenye mapenzi ndugu yangu asikudanganye mtu...ka gairi
LOVE TAKES TIME hana mda na wewe
 
Du mi ningekupata mwanamke kama we we mbona raha....u seem to serious pole bwana that how Men are, SEX worth a lot to them ucwavulie ngue kirahic....
WISH U COME TO ME, THERE WILL BE NO MORE TEARS
 
ah wee ulishagegedwa tulia pembeni mwenzio ameshakuweka kwebye black buk yake....u may luk for love but if u continue that way utaishia megwa dada

Ididnt see what wrong do idid to him .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom