Huyu Akaongeze Kuku Xmass

Huyu Akaongeze Kuku Xmass

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Huyu aliyeshika kiuno ndiye dereve wa Noha iliyopondeka
je ni bag au siku zake hazijafika? ajali hii imetokea jana IMG_2739.jpg
 
Yapo majukumu hapa duniani ambayo bado hajayakamilisha kama walimuomba mchango wa kujenga msikiti au kanisa afanye hivyo sasa kama shukurani maana ni muujiza, kama kuna kituo cha yatima karibu naye achukuwe wawili asomeshe
 
Watu wanakufa kwa sababu za kijinga, tunamsingizia Mungu. Tuache tabia hii.

Kwa nini asisaidie Wajane, Yatima na homeless? Huu ujenzi wa majumba ya akina Mwingira, dahhhh.....

Wenzetu wameweka technology ya mabati kuchukua impact yote ya mgongano, abiria ndani mzima.

Hawakukaa kama sisi kuwa hizi ajali ni mapenzi ya Mungu.

Zikitokea, hatujiulizi tufanyeje ili zipungue, tunamkimbilia Mungu kwenye majumba ya Ibada.....

Yapo majukumu hapa duniani ambayo bado hajayakamilisha kama walimuomba mchango wa kujenga msikiti au kanisa afanye hivyo sasa kama shukurani maana ni muujiza, kama kuna kituo cha yatima karibu naye achukuwe wawili asomeshe
 
Aisee kweli kama cku zako hazijafika huwezi kufa, hapo huwezi amini kama mtu ametoka salama
 
kama ni meber humu amekusikia, lkn si ajabu leo ukamkuta Guest
 
Aisee kweli kama cku zako hazijafika huwezi kufa, hapo huwezi amini kama mtu ametoka salama

kwa anavyoonekana hata bia anagonga bila wasiwasi, ila mawazo ya gari ndo yatamzuzua
 
mungu ni mwema jamani. huwez amin kama mtu katoka mzima hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom