Huwezi kupata kila unachotaka....

This is so strong! A post from a grown up mind!
 
Nakupendaga pia madame, sema nini tofauti zetu zipo palepale haziishi😀😀😀
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani wewe!!!!na Mimi watani wa jadii!!!

Pale acha tubaki na ukuta tuu!!!
 
Life is fair because is unfair to everybody. Unayempenda hakupendi usiyempenda ni mfupi, kitambi hakina ushirikiano, hana kumi[emoji16][emoji16]
 
Woyooooo ndo nipo kwny hilo kundi la pili,Yani full kujisemesha huko "anyway tamuuuuu ananitmbg vzr" Tabu tupu huku Duniani
Sasa uzuri wa kundi hilo si kwamba una guarantee ya amani katika mapenzi yenu. Hutosalitiwa wala kuzenguliwa katika namna yeyote na mapenzi utayopewa ni A1.
Mi naona kuwa na mtu wa hivyo ni bora kuliko kuwa na kundi lolote hasa mwanamke akiwa anajiweza maana jamaa anachokosa ni pesa tu which i term it as a temporary situation.
Na KE wengi wana struggle ili waingie katika style hio ya mahusiano sikuhizi. Otherway round uwe na mume wa mtu kama huwezi kujihudumia ila ndio wengi hawapigi kazi ipasavyo so ni 50/50!
 
Bila kusahau usiempenda ndio mtu anaekujali kuliko wote, yani katika situation zotee he is there....moyo unadhambi sana.
Nimewahi kupenda sehemu, najitutumua mpk basi ,lkn muhusika wala ,huo muda hana

Huwa nakuelewa sana mleta Mada na Mada zako

Ngoja niendelee kujifunza huku nagonga moja moto moja baridi
 
mp kwa vocha nikuunganishe mana sio kwa uchambuz huu kiss upon you
 
Nimewahi kupenda sehemu, najitutumua mpk basi ,lkn muhusika wala ,huo muda hana

Huwa nakuelewa sana mleta Mada na Mada zako

Ngoja niendelee kujifunza huku nagonga moja moto moja baridi
Sometimes kuna huruma inakujaga kwa watu tusiowapenda unatamani hata upretend kwa mbaali unamkubali moyo unagoma hisia hazikubali kabisa, tunatamani hata kulipa fadhila hata kwa kabusu tu ila ndo wapiii!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…