Hahahhahhaha... LolAhaaaaaaa huu Uzi una zaidi ya ukweliiiii.
Shoga yangu mmoja alinambia exactly ulichosema.
Yeye Mme alipata na ndoa juu na kila kitu Mme anacho kasoro hivi.
1: mfupiiii,
2: sura kama wa yule waziri maana kamuharibia watoto
Nakataka kujua kwa ufupi ule dutheee lipo?
Kaseme kabla ya kujifungua Shoga alikuwa modo,so lilikuwepogo sasa hivi wote ni wanene, maana Mme ni mnene by nature, sasa hivi no balance equation
Yaan ni full vurugu hakuna wa kumgeuza kwingine,robo goliiii chariiiiiiiiiila pesa zipo zinafunika hayo mengine.
Style ilobaki ni popo kakojolea mbingu. Tu.
Unachokitaka huwezi kukipata.
#Yajayo yanasikitisha.#
Yaani hawa watu wenye nazo ni pasua kichwa.. Too busy mpaka unaeza tamani ummwage...
Hawa bad boys sijui wapoje will have to explore nijionee.. Hahahhahhaha
Hahhahaha.....nashukuru kwa kunipa angalizo rasta mwenzangu.. Ngoja nipambane na huyu mtu wangu aliye busy 24/7Wenye nazo ndo hivo tu wanasaidia kulainisha vyuma ila mapenzi hamna kitu ni watu emotionless mara nyingi.
Bad boys ni addictive, try at your own risk usiseme hukujua....
Miss u mingi rasta mwenzangu

Kama wote mpo busy hapo mnabalance, ishu iwe we haupo busy ye busyHahhahaha.....nashukuru kwa kunipa angalizo rasta mwenzangu.. Ngoja nipambane na huyu mtu wangu aliye busy 24/7![]()
![]()
Sema nini siku hizi nami amenifundisha kuwa busy so ngoma droooo.....
Hahahhahhaha... Ubize wa kiana tu ili nisiwe bored... Eeh maana Mi Nataka mtu wa kunipetipetii muda mwingi...Kama wote mpo busy hapo mnabalance, ishu iwe we haupo busy ye busy
Binamu,love is more sexier when your partner can be a broke ass as hell kiasi mpk unaweza mnasa kibao ili umpe buku tano and he can also be a filthy rich kiasi anaweza akununue kwa kila dakika.
Unashangaa kuuza papuchi ila hushangai kununua papuchi, bro huku sasa ni kutukausha uzazi.Mh ww snowhite unavosema mwanaume akununue kila dakika, kwahiyo nyie wanawake mnajiuza kwetu Sie wanaume...lyk mnatuuzia papuchi zenu. Au Evelyn salt nifafanulie kidogo. Evelyn Salt snowhite
Unashangaa kuuza papuchi ila hushangai kununua papuchi, bro huku sasa ni kutukausha uzazi.
Mkuu kwa sisi wawanaume hata usipotaka kununua papuchi, utalazimishwa tu uinunue, k.v kuombwa hela (kupigwa mizinga) baada ya kutongoza, pengine waweza pigwa mzinga baada ya kupewa papuchi, ukisema huna hela, papuchi hupewi na attention ya mdada inapungua, kupendewa pesa na mwanamke etc..under the umbrella of "kuhudumia" Evelyn Salt
Calm down, chill man chill....Ungejua maana yakupenda ungepata aliye sahihi..huwezi kumkuta mtu kakamilika sasa pick afadhali kati ya hao ambye yupo tyr na mahusiano serious na wewe thn mkae chini mfanye kazi km team kufikisha mahusiano yenu sehemu flani tatizo lenu mmeona mbo* nyingi na mahusiano mengi kwahiyo vichwa vyenu vimekuwa na vigezo kibao kutokana na experiences zenu... vinawaza awe na mboo km juma,pesa kama david,romantic kama michael,msafi kama ally,handsome km idrissa,mcha Mungu km masanja,mcheshi km George, mpole km fadhili....sasa masifa yote hayo ya wapenzi wako wazamani eti awe nayo mwanamme mmoja khaaaaaaa...tulizeni miili hiyo hili vigezo vyenu vipungue... mjanja yeyote anajua kundi la wanawake wenye vigezo vingi wengi wao ni malaya wameona mengi
Nipe nguo chafu..nina povu jingi mnatujaza povu halafu mnasema sikuhizi hatueleweki sasa maneno kama haya dawa yenu ni kuwa na ulaghai tu...sura mbaya,uongo mwingi,pesa za kukopa,napiga kimoja chakivivu bila romance halafu nakukopa natoka nduki...uje edit uzi uongeze kipengele kingine..Calm down, chill man chill....
Wait upo kundi gani my dear, I guess sio broke assNipe nguo chafu..nina povu jingi mnatujaza povu halafu mnasema sikuhizi hatueleweki sasa maneno kama haya dawa yenu ni kuwa na ulaghai tu...sura mbaya,uongo mwingi,pesa za kukopa,napiga kimoja chakivivu bila romance halafu nakukopa natoka nduki...uje edit uzi uongeze kipengele kingine..
Pesa ipo ipo kiasi,mapenzi kiasi,haiba ya kuwavutia wanawake ipo ipo,muonekano upo upo ila sipendezi sana,ubusy upo upo.Namshukuru, mwanamke wangu mi kila sector nampa 60% -70%. NAVUMILIKA.Wait upo kundi gani my dear, I guess sio broke ass
Ha ha ha watu weeuweeeeeeee!!!!Pesa ipo ipo kiasi,mapenzi kiasi,haiba ya kuwavutia wanawake ipo ipo,muonekano upo upo ila sipendezi sana,ubusy upo upo.Namshukuru, mwanamke wangu mi kila sector nampa 60% -70%. NAVUMILIKA.