Uko vizuri tichaSio hao tu
Uko vizuri tichaSio hao tu
Hata we upo vizuri, nshakutestUko vizuri ticha
Okay.uchambuz wako haujakiz vigezo
This is so strong! A post from a grown up mind!Look beyond mambo madogo madogo and into the future. 1
Time is never on our side as women kuwajaribu wote hao.
Choose one ukijua kwamba hamna alie perfect katika hao. Choose one ambae moyo wako unajua kabisa unaweza kuishi nae mkawa na future na ukavumilia mapungufu yake. I would do this if it were me.
Pia kumbuka mtaka yote hukosa yote. Narrow down your needs and desires.
Nakupendaga pia madame, sema nini tofauti zetu zipo palepale haziishi😀😀😀
yaani wewe!!!!na Mimi watani wa jadii!!!Binamu tunatafutana....Binamu nakutafuta ujue...
We mdada nakupendaga, you are so real.Binamu tunatafutana....
Saa tano kamili utaona call yangu, ukiiona hata usipokee njoo direct hapa matakko bar 😀
Thanks ma, thanks.We mdada nakupendaga, you are so real.


Sasa uzuri wa kundi hilo si kwamba una guarantee ya amani katika mapenzi yenu. Hutosalitiwa wala kuzenguliwa katika namna yeyote na mapenzi utayopewa ni A1.Woyooooo ndo nipo kwny hilo kundi la pili,Yani full kujisemesha huko "anyway tamuuuuu ananitmbg vzr" Tabu tupu huku Duniani
Bila kusahau usiempenda ndio mtu anaekujali kuliko wote, yani katika situation zotee he is there....moyo unadhambi sana.Life is fair because is unfair to everybody. Unayempenda hakupendi usiyempenda ni mfupi, kitambi hakina ushirikiano, hana kumi![]()
Nimewahi kupenda sehemu, najitutumua mpk basi ,lkn muhusika wala ,huo muda hanaBila kusahau usiempenda ndio mtu anaekujali kuliko wote, yani katika situation zotee he is there....moyo unadhambi sana.
Matako bar ipo mabibo njia ya kwenda external naomba Nije nitajie wakati tu.Binamu tunatafutana....
Saa tano kamili utaona call yangu, ukiiona hata usipokee njoo direct hapa matakko bar 😀
Sometimes kuna huruma inakujaga kwa watu tusiowapenda unatamani hata upretend kwa mbaali unamkubali moyo unagoma hisia hazikubali kabisa, tunatamani hata kulipa fadhila hata kwa kabusu tu ila ndo wapiii!!!!!Nimewahi kupenda sehemu, najitutumua mpk basi ,lkn muhusika wala ,huo muda hana
Huwa nakuelewa sana mleta Mada na Mada zako
Ngoja niendelee kujifunza huku nagonga moja moto moja baridi