Kichaafulani
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 1,295
- 1,275
Samahani dada umeolewa?
Naomba niwe rafiki yako wa kuchat tuu tafadhali, hakuna zaidi ya hapoLook beyond mambo madogo madogo and into the future. 1
Time is never on our side as women kuwajaribu wote hao.
Choose one ukijua kwamba hamna alie perfect katika hao. Choose one ambae moyo wako unajua kabisa unaweza kuishi nae mkawa na future na ukavumilia mapungufu yake. I would do this if it were me.
Pia kumbuka mtaka yote hukosa yote. Narrow down your needs and desires.
na wewe " mbinguni hauendi pia".... Maana hiyo play list uliyoitaja pale".... nimesikia mpaka shetani kagunaAhahhahahhaaha ukinisemea HUENDI MBINGUNI!!
Huyo holy saviour huyo....bwana niokoeeengooooja nikupangie list dogo!
-AVERAGE JOE,
-MANDINGO,
-WA SELFIE,
-WA SHEREHE ZA JUMUIYA YA MT. PETRO,
-WA IDEAS ZA BIASHARA NA THESIS WRITE UP
-WA KWENDA NAE BIRTHDAYS ZA MASHOSTI
-A HOLY SAVIOR(huhamishaga milima hawa hata uwe in which kind of shit atakuokoa tu na hali chochote)
aaahhahahaha sio mzima kabisa wewe!
Rudia kusoma utanisomaKwahiyo hizo sample zote unauzoefu nazo au sijakusoma vzr
Unatafuta mchumba?Samahani dada umeolewa?
Binamu umeanza lini unoko hivi?na wewe " mbinguni hauendi pia".... Maana hiyo play list uliyoitaja pale".... nimesikia mpaka shetani kaguna
Hhahahhaahaha ila zaaaaambi!!Huyo holy saviour huyo....bwana niokoeee
hahaaa binamu basi " sirudii tena' nimekomaBinamu umeanza lini unoko hivi?
Nahitaji mchumbaUnatafuta mchumba?
Mi LAKIN nilikuwa nampangia list mwl!!hahaaa binamu basi " sirudii tena' nimekoma
hahaa nimeona".... mimi nipe nafasi ya huyo average JoeMi LAKIN nilikuwa nampangia list mwl!!
Niliona Kama Kuna making MTAMBUKA hajayazingatia!!
kuna mbabe mmoja ANASHIKA NAMBA ZOTEEE!hahaa nimeona".... mimi nipe nafasi ya huyo average Joe
Vigezo? Mi dalali wa mapenziNahitaji mchumba
Mda sasa rafikiNaomba niwe rafiki yako wa kuchat tuu tafadhali, hakuna zaidi ya hapo