Huwezi kupata kila unachotaka....

Huwezi kupata kila unachotaka....

Hivi katika Biblia huu mstari una maana gani hasa

Kitali Cha Methali 11:22

“Kama pete ya dhahabu katika pua ya nguruwe, Kadhalika mwanamke mzuri asiye na akili.”
Tutafasirie mtumishi
 
Ungejua maana yakupenda ungepata aliye sahihi..huwezi kumkuta mtu kakamilika sasa pick afadhali kati ya hao ambaye yupo tyr na mahusiano serious na wewe thn mkae chini mfanye kazi km team kufikisha mahusiano yenu sehemu flani tatizo lenu mmeona mbo* nyingi na mahusiano mengi kwahiyo vichwa vyenu vimekuwa na vigezo kibao kutokana na experiences zenu... vinawaza awe na mboo km juma,pesa kama david,romantic kama michael,msafi kama ally,handsome km idrissa,mcha Mungu km masanja,mcheshi km George, mpole km fadhili....sasa masifa yote hayo ya wapenzi wako wazamani eti awe nayo mwanamme mmoja khaaaaaaa...tulizeni miili hiyo hili vigezo vyenu vipungue... mjanja yeyote anajua kundi la wanawake wenye vigezo vingi wengi wao ni malaya wameona mengi
Haahaha hawatakuelewa ila hii kitu ni konki sana, very realistic mzee baba!
 
Back
Top Bottom