Huwezi kupata kila unachotaka....

Huwezi kupata kila unachotaka....

Ahaaaaaaa huu Uzi una zaidi ya ukweliiiii.

Shoga yangu mmoja alinambia exactly ulichosema.

Yeye Mme alipata na ndoa juu na kila kitu Mme anacho kasoro hivi.

1: mfupiiii,
2: sura kama wa yule waziri maana kamuharibia watoto

Nakataka kujua kwa ufupi ule dutheee lipo?
Kaseme kabla ya kujifungua Shoga alikuwa modo,so lilikuwepogo sasa hivi wote ni wanene, maana Mme ni mnene by nature, sasa hivi no balance equation😁😁😁😁

Yaan ni full vurugu hakuna wa kumgeuza kwingine,robo goliiii chariiiiiiiii😁 ila pesa zipo zinafunika hayo mengine.

Style ilobaki ni popo kakojolea mbingu. Tu.

Unachokitaka huwezi kukipata.

#Yajayo yanasikitisha.#
 
Hahahaaaa!! Kwakweli pesa hufunika madhaifu mengi.
 
Umejifunza mengi na umepita kwingi, kikubwa wewe ni mtafiti mzuri, natumai kwa uzoefu huu huwezi pata shida tena kwakuwa unajua kila kitu.
 
Hahaa yaani average joe yeye"... holy Savior pia yeye ""??
Binamu,love is more sexier when your partner can be a broke ass as hell kiasi mpk unaweza mnasa kibao ili umpe buku tano and he can also be a filthy rich kiasi anaweza akununue kwa kila dakika.
 
Binadamu si wakamilifu hivyo basi kumpata mtu mwenye sifa zote ni ngumu.Cha msingi chagua ambae unaeza kupendana na madhaifu yake.
 
ngooooja nikupangie list dogo!

-AVERAGE JOE,
-MANDINGO,
-WA SELFIE,
-WA SHEREHE ZA JUMUIYA YA MT. PETRO,
-WA IDEAS ZA BIASHARA NA THESIS WRITE UP
-WA KWENDA NAE BIRTHDAYS ZA MASHOSTI
-A HOLY SAVIOR(huhamishaga milima hawa hata uwe in which kind of shit atakuokoa tu na hali chochote)
aaahhahahaha sio mzima kabisa wewe!
Hii listi haijakamilika. Umiza kichwa zaidi
 
Kukutongoza nikutongoze mimi,pesa nitoe mimi,hotel nilipe mimi halafu bado tu nikuridhishe khaa
 
Binamu,love is more sexier when your partner can be a broke ass as hell kiasi mpk unaweza mnasa kibao ili umpe buku tano and he can also be a filthy rich kiasi anaweza akununue kwa kila dakika.
Kuna movie moja hivi inaitwa The Judge, kuna sehemu manzi anamwambia mshikaji hivi" Dammit, Hank. I loved you then and I love you now. I do. I love how you are simultaneously the most selfish and the most generous person I know. I love how you hate a bully while being one."
Yaani mapenzi huwa hayaeleweki.
 
Ahaaaaaaa huu Uzi una zaidi ya ukweliiiii.

Shoga yangu mmoja alinambia exactly ulichosema.

Yeye Mme alipata na ndoa juu na kila kitu Mme anacho kasoro hivi.

1: mfupiiii,
2: sura kama wa yule waziri maana kamuharibia watoto

Nakataka kujua kwa ufupi ule dutheee lipo?
Kaseme kabla ya kujifungua Shoga alikuwa modo,so lilikuwepogo sasa hivi wote ni wanene, maana Mme ni mnene by nature, sasa hivi no balance equation😁😁😁😁

Yaan ni full vurugu hakuna wa kumgeuza kwingine,robo goliiii chariiiiiiiii😁 ila pesa zipo zinafunika hayo mengine.

Style ilobaki ni popo kakojolea mbingu. Tu.

Unachokitaka huwezi kukipata.

#Yajayo yanasikitisha.#
😀😀😀😀😀😀
Umenivunja mbavu kwamba hao watu sahivi ni "mission impossible"
 
Kuna movie moja hivi inaitwa The Judge, kuna sehemu manzi anamwambia mshikaji hivi" Dammit, Hank. I loved you then and I love you now. I do. I love how you are simultaneously the most selfish and the most generous person I know. I love how you hate a bully while being one."
Yaani mapenzi huwa hayaeleweki.
OOOOOOOOOOOOh yes!!
Unajua hata kumfanya achukie na matendo unayofanya ujue BADO anakupenda!!

So loving u while I hate you for your bad and still being there aseeh!!hata kupata hizi packages!!
Uzi unasema huwezi pata!NI Kelli hayupo!!

But we do compromise na kupata everything in a person.
VINGINEVYO UTAPATA WEHU!!
 
Hili lipo wazi
Hupati unachotaka ila unachostahili. unachostahili ni kipi?

Ok, Maslow katika theory yake anakuambia kwa kifupi matamanio/mahitaji ya binadamu yanakomea na kuanzia na anachopata.

Ukiwa huna kazi utatamani kuipata ukishaipata utaanza kuichambua unawaza kuwaza nzuri zaidi.

Matamanio ya binadamu hayana ukomo yanaanzia yalipoishia.
 
Mzee wa principles of management" naona umejaribu kwenda kitaalamu zaid..... Abraham Maslow theory au siyo..... hierarchy of human needs
 
Back
Top Bottom