Ochumeraa
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 4,507
- 5,736
Kama ni mchezaji mpira tunasema ni kiraka namba zote anazimudunakuwa expert kuna raha yake mkuu!popote kambi
Kama ni mchezaji mpira tunasema ni kiraka namba zote anazimudunakuwa expert kuna raha yake mkuu!popote kambi
Vyuma tu vina gonganaAisee kipochi manyoya yako itakua imepitia mengi sana
Kama ni mchezaji mpira tunasema ni kiraka namba zote anazimudu
Tungekuita Sister EvelynIlibaki kidogo niwe sista
Yukwapi Mc Babu Ayoub?Nguruwe pita sina mkuki mie
Nakupendaga pia madame, sema nini tofauti zetu zipo palepale haziishi😀😀😀Mi nakupendaga tu evaaa...!!!!
Vyuma vinasuguana hadi checheVyuma tu vina gongana
hahaaVyuma vinasuguana hadi cheche
aisee nakwenda kukusemea"...kwa brongooooja nikupangie list dogo!
-AVERAGE JOE,
-MANDINGO,
-WA SELFIE,
-WA SHEREHE ZA JUMUIYA YA MT. PETRO,
-WA IDEAS ZA BIASHARA NA THESIS WRITE UP
-WA KWENDA NAE BIRTHDAYS ZA MASHOSTI
-A HOLY SAVIOR(huhamishaga milima hawa hata uwe in which kind of shit atakuokoa tu na hali chochote)
aaahhahahaha sio mzima kabisa wewe!
Ahahhahahhaaha ukinisemea HUENDI MBINGUNI!!aisee nakwenda kukusemea"...kwa bro