Huwezi kupata kila unachotaka....

Huwezi kupata kila unachotaka....

Sometimes kuna huruma inakujaga kwa watu tusiowapenda unatamani hata upretend kwa mbaali unamkubali moyo unagoma hisia hazikubali kabisa, tunatamani hata kulipa fadhila hata kwa kabusu tu ila ndo wapiii!!!!!
Hapa nimekuelewa vzr mno ,inabidi niangalie namna ya kutuma muamala kwa jinsi navyojifunza kwako ,natumai PM hujafunga ili kufanikisha hili
 
Bad boys/players wanakuaga sweetest watundu mno hawachoshi, ni addictive ni kind ya watu wanakufanya uwe wet kwakweli ila huwa hawajali utaletewa mapicha picha utakaa utapanga kibuti "it's over mi siwezi kuendelea na wewe" kesho masikini unajirudisha "am sorry unajua bla bla nashindwa kukaa bila wewe" na vile hawajali unajirudisha utaliwa mchana kweupeee unaendelea kuwepo kuwepo.Hili kundi ndo nipo,nimemgusa mtoto juzi kachizi anasumbua balaa.
 
Basi ukisumbuliwa unajikuta keeeki teh
 
Ukimpata mnayependana nae lkn akakosa vtu flnfln amazing unavyovitaka it's time ya kumjenga wew awe vile utakavyo....don't expect to get a ready made husband or wife,build yours....otherwise utaacha kila siku kama unamtafuta mkamilifu....
NB: In love u don't get the right person,rather u get the wrong person who u consider to be right and perfect for u only,in other words u get the right-wrong person.
Hivi huwa najiuliza miaka ya za nadhani kabla ya 80s watu wengi walikuwa wanaowa wasichana ambao hawawafahamu, walikuwa wanachumbiwa na baba zao na kuwalipia mahari na waliishi hadi kuzeeshana, miaka ya sasa asilimia kubwa tunaowa wasichana/wanawake tunaowataka sisi lakini ndoa nyingi hazina furaha wala maelewano kulikoni?
 
Tamaa mkuu
Kabla hajaingia anakuwa mtu sana akiingia kwenye ndoa tamaa ya kupata inaanza
Pia kutaka maisha zaidi ya uwezo wako
 
Tamaa mkuu
Kabla hajaingia anakuwa mtu sana akiingia kwenye ndoa tamaa ya kupata inaanza
Pia kutaka maisha zaidi ya uwezo wako
Nazani shule imeleteleza matatizo zaidi katika ndoa, mwanamke akisoma akija kuolewa anakuwa na matazamio ya kupata maisha mazuri kutoka kwa mume wake (badala ya kuyatafuta) akiolewa hafu akakuta jamaa ni wakawaida kimaisha wanaanza kusumbuana,
Hafu kuna wale wanawake ambao wanataka kuwaendesha waume zao kisa anamkwanja unaolingana au kumzidi mme, Hafu kuna ambao hawana uvumilivu yaani kama mme wake labda anatatizo la kiafya anashindwa kumpa mambo kitandani utaona anaanza kuomba ushauri kwa rafiki zake mwishowe ataanzisha mtandao wa kuchepuka
 
Hivi huwa najiuliza miaka ya za nadhani kabla ya 80s watu wengi walikuwa wanaowa wasichana ambao hawawafahamu, walikuwa wanachumbiwa na baba zao na kuwalipia mahari na waliishi hadi kuzeeshana, miaka ya sasa asilimia kubwa tunaowa wasichana/wanawake tunaowataka sisi lakini ndoa nyingi hazina furaha wala maelewano kulikoni?
Enzi hizo wanaume walikua WANAUME na wanawake walikua WANAWAKE siku hizi tupo tupo tu, mfumo wa maisha umetubadilisha na bado unatubadlisha.
 
Wanawake mmekuwa wa tamaa sana mnaishi kwa kushindana kinyume vipato vyenu hilo nalo tatizo
Wanaume nmekua na umama sana mnashindwa kufanya majukukumu yenu...

Hamna haja hata ya kutupiana lawama, mfumo wa maisha umetubadili wote wanawake tumebadilika wanaume mmebadilika na bado tunaendelea kubadilika.
 
Aggggrrrrrrr!!! Maisha sio fair kabisa, na ukipata karibia na vyote pia havidumu. I miss you my F.
Sasa inabidi tujumlishane tu ili angalau upate kidogo kidogo.

Hahahaaaa! Nimecheka hapo eti utafikiri anapambana na umasikini.
Eeh you're right Kwa Kweli.. Vilivyokamilika havidumu... Missing my H pia... I know we gonna meet one day
 
Back
Top Bottom