Huwezi kupata kila unachotaka....

Huwezi kupata kila unachotaka....

Enzi zile za ujana wakati ndo nmekutana na bebe ambae ndo tupo tunazeeka wote, nilimuuliza huwezi kuwa mwanamke mmoja?akanijibu "siwezi, siwezi kuwa na mwanamke mmoja, nitakua na anaenichuna, anaenipenda, ninaempenda, atakaenifanya nilie, atakaenifanya nicheke nk vyote siwezi kupata kwa mwanamke mmoja" nlivokua nampenda (hatujaanza rasmi) nilihisi ganzi mwili ukapoa nashukuru konyagi iliniokoa katika ile hali ikapandisha joto


hhaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhh!dah wewe mtu wewe
 
Huu uzi nimeupenda bure. Mtoa mada naomba ruhusa niupost tena...,
 
Bad boys hatari mno enzi hizo mzee mgwaju waliniibia sana dream girls zangu but now its a different story nakutana na wababe wamechoka mno na watoto zao ambao baba zao ndo hao bad boyz......ila mapenzi magumu kuyaelewa na mashenzi....muda mwingine bora tu ukae pembeni
 
Back
Top Bottom