carter
JF-Expert Member
- Jan 23, 2009
- 3,664
- 4,272
Maudhui ya uzi wako yanaongelea wanawake tu. Nami nimepita huko huko.Sio wanawake tu
Maudhui ya uzi wako yanaongelea wanawake tu. Nami nimepita huko huko.Sio wanawake tu
Niandae na kondoo😀
Nahitaji maombi tu mie
amesema kweli tupu aiseee nimecheka sana!Hujamaliza tu kucheka twakusubr
Nguruwe pita sina mkuki mie
Amen....Piga magoti tusali mtumishi.
Look beyond mambo madogo madogo and into the future. 1
Time is never on our side as women kuwajaribu wote hao.
Choose one ukijua kwamba hamna alie perfect katika hao. Choose one ambae moyo wako unajua kabisa unaweza kuishi nae mkawa na future na ukavumilia mapungufu yake. I would do this if it were me.
Pia kumbuka mtaka yote hukosa yote. Narrow down your needs and desires.
Choose one ukijua kwamba hamna alie perfect katika hao. Choose one ambae moyo wako unajua kabisa unaweza kuishi nae mkawa na future na ukavumilia mapungufu yake. I would do this if it were me.
Tena aliyenona.Niandae na kondoo😀
sijakuelewa aunt ake hapaWanao dali sana wanaolewa na walevi
Hongera kwa tamko hiliLook beyond mambo madogo madogo and into the future. 1
Time is never on our side as women kuwajaribu wote hao.
Choose one ukijua kwamba hamna alie perfect katika hao. Choose one ambae moyo wako unajua kabisa unaweza kuishi nae mkawa na future na ukavumilia mapungufu yake. I would do this if it were me.
Pia kumbuka mtaka yote hukosa yote. Narrow down your needs and desires.
Enzi zile za ujana wakati ndo nmekutana na bebe ambae ndo tupo tunazeeka wote, nilimuuliza huwezi kuwa mwanamke mmoja?akanijibu "siwezi, siwezi kuwa na mwanamke mmoja, nitakua na anaenichuna, anaenipenda, ninaempenda, atakaenifanya nilie, atakaenifanya nicheke nk vyote siwezi kupata kwa mwanamke mmoja" nlivokua nampenda (hatujaanza rasmi) nilihisi ganzi mwili ukapoa nashukuru konyagi iliniokoa katika ile hali ikapandisha jotoNever.
Duuuh huyo jamaa kiboko ngoja nifaute nyayo zakeeeEnzi zile za ujana wakati ndo nmekutana na bebe ambae ndo tupo tunazeeka wote, nilimuuliza huwezi kuwa mwanamke mmoja?akanijibu "siwezi, siwezi kuwa na mwanamke mmoja, nitakua na anaenichuna, anaenipenda, ninaempenda, atakaenifanya nilie, atakaenifanya nicheke nk vyote siwezi kupata kwa mwanamke mmoja" nlivokua nampenda (hatujaanza rasmi) nilihisi ganzi mwili ukapoa nashukuru konyagi iliniokoa katika ile hali ikapandisha joto
Enzi zile za ujana wakati ndo nmekutana na bebe ambae ndo tupo tunazeeka wote, nilimuuliza huwezi kuwa mwanamke mmoja?akanijibu "siwezi, siwezi kuwa na mwanamke mmoja, nitakua na anaenichuna, anaenipenda, ninaempenda, atakaenifanya nilie, atakaenifanya nicheke nk vyote siwezi kupata kwa mwanamke mmoja" nlivokua nampenda (hatujaanza rasmi) nilihisi ganzi mwili ukapoa nashukuru konyagi iliniokoa katika ile hali ikapandisha joto