Huwezi amini lakini ukweli bila NATO, Marekani anaiogopa Sana Urusi

Nataka tujiulize, kwanini hakuna nchi hata moja ya Afrika Mashariki yenye ujuzi wa mambo hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasababu sisi tumeamua kuwa ombaomba daima milele amina. Hata professor wa physics anazungumza kama layman yani ni siasa kwa kwenda mbele.
Hatujawekeza kwenye elimu na hatuna roadmap ya muda mrefu. China has a plan for africa but africa has no plan for itself 🤣🤣
 
Umeanza kuisifu Marekani kwamba ni taifa kubwa duniani lakini umeshindwa kufahamu kwamba nguvu ya Nato inatokana na ukubwa wa nchi ya Marekani., Marekani imekuwa ndio nchi inawafadhali kwa kiwango kikubwa hizo nchi za umoja wa NATO ambao hakuna namna lazima waitike fadhila kwa Marekani.,
 
US pekeyake hawezi kitu angalia vita ya kuisambaratisha Afighanistan na Iraq aliomba msaada mataifa kibao lakn anaepigananae yupo alone. Hata kumpiga Gaddaf alikuwa yy na Ufaransa.
Nani kakwambia? kwa Gadafi Marekani alipigana na karibu mataifa 10 ikiwemo hiyo Urusi
 
Nataka tujiulize, kwanini hakuna nchi hata moja ya Afrika Mashariki yenye ujuzi wa mambo hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasababu sisi tumeamua kuwa ombaomba daima milele amina. Hata professor wa physics anazungumza kama layman yani ni siasa kwa kwenda mbele.
Hatujawekeza kwenye elimu na hatuna roadmap ya muda mrefu. China has a plan for africa but africa has no plan for itself 🤣🤣
 
Sawa nimekupata.

Nilisema awali kwamba, suala la Marekani kuitaka NATO kuwa wamoja dhidi ya Urusi haina tafsiri kwamba Marekani haiwezi kuikabili Urusi ikiwa peke yake. Hili suala limejikita zaidi katika siasa za kijiografia kuliko nguvu za kijeshi.

Marekani imekuwa ikiitumia NATO katika migogoro mbalimbali ili kujiongezea ushawishi (sphere of influence) kupitia mataifa mengine mbalimbali kutokana na kuzishawishi nchi hizo kujiunga na NATO. Hilo halina maana ya kwamba Marekani yenyewe haiwezi kabisa kushughulika na nchi zenye uhasama nayo.
 
Marafiki hawaogopani. Marekani na Urusi ni marafiki na haitatokea wakapigana.
 
Maana yangu ni kwamba Marekani hawezi kuikabili Urusi bila NATO na anachoweza kuikabili Urusi ni vikwazo tu.
Marekani ndio mchangiaji mkubwa wa bajeti NATO... isitoshe ana miliki jeshi kubwa zaidi na silaha nyingi za kisasa kuliko mwanachama yeyote wa NATO.

Mkataba wa NATO unahimiza ushirikiano wa pamoja katika kuikabili Urusi hivyo si takwa la Marekani pekee........

isitoshe njia pekee ya kuiadhibu Urusi ni vikwazo vikali vya kiuchumi vitakavyolenga sekta zake muhimu hasa gesi, mafuta na sekta ya fedha (mabenki, biashara, mitaji,mikopo).
 
Bila kushirikiana hakuna mafanikio .na kama kweli mrusi mbabe awapige ukraine .mjomba acha ushabiki wa simba na yanga . Liogope sana taifa la marekani kwenye kila Nyanja unayoijua wewe bila marekani hakuna Amani duniani ukubali ukatae ukweli ndio huo
usiseme awapige sema awapige tena maana kile kipigo alotoa kwa UKRAINE juu ya CRIMEA nadhani mpaka leo hii maumivu yake bado yapo sanaaa
 
tushawazoeeni kutafuta pajutokea US paper tiger
 
Tatizo mchina tayari ana jina baya kuhusu bidhaa zake, hili ni tatizo kubwa hivyo hawazi kuwa mshindani hatari kwa Marekani.
hilo jina baya mnalonyie tu ila karibu dunia nzima inaelewa kama nipropaganda zenu dhidi ya UCHINA kama unaamini anajina baya mbona bado anafanya vyema kweye uga wabiashara ulimwenguni ndani ya UCHINA na nje ya UCHINA
 
hio lakini ndio hawezi angeweza usingeweka hio lakini
 
MKUU huu uzi kabisa ulitakiwa uutengee mjadala wake pembeni maana umejaa hoja
 
putin alitangaza lini kuivamia ukraine
 
UKRAINE kama atajiunga na NATO atakula kichapo na GERMAN hatajitoa katika ujenzi wa bomba la nord stream 2 sababu unafaida kwake kuliko UKRAINE
 
hio lakini ndio hawezi angeweza usingeweka hio lakini


Ukitaka.kujua maana ya hiyo "lakini" basi Urusi iende kumega kipande cha ardhi huko Alaska kama jinsi ilivyoimega Crimea, hapo ndipo utajua America anaweza au hawezi.
 
endelea kuwaza upupu
Bado sana..sio leo au kesho marekani kupotea kwenye ramani ya dunia..nitaendelea kuamini hivi milele.

Sijaona nchi ya kuiondoa marekani...myb dunia nzima iungane kupigana vita na marekani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…