Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,300
Mimi nikijibana sana hazizidi siku mbili, wewe je huwa unatumia 1GB kwa siku ngapi?



😂Sio mtaje tu, na mtupe michongo ya bundles aisee.
Mtandao gani?Siku 5 nikiwa bize wiki
hatutaki jibu lakoGB....
Gb....
gb....
Nikishazielewa naweza kujibu![]()
Uko vizuri, na hapo ukute umejibanaGb 10, siku nne.
AirtelMtandao gani?
iPhone X sio?Tangu namba za kirumi zimezuiwa situmii gb
Itakua na familia yakewewe na nani?![]()
huhuhahaaaiPhone X sio?
Siku moja tuuMimi nikijibana sana hazizidi siku mbili, wewe je huwa unatumia 1GB kwa siku ngapi?