Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 481
Sijui ka kweli lakini jamaa zangu huwa wananambia kuwa malovi davi yasokuwa na fomula huwa ni matamu sana. Yaani ukiwa na demu wako popote muwapo wawili nyie twende kazi. Sebuleni shega, bafuni haya na wale wa ofisini juu ya meza ya boss sawa tu. Hivi ni kweli ama