Huwa naskia tu toka kwa majamaa zangu kuwaaaaaa......

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Sijui ka kweli lakini jamaa zangu huwa wananambia kuwa malovi davi yasokuwa na fomula huwa ni matamu sana. Yaani ukiwa na demu wako popote muwapo wawili nyie twende kazi. Sebuleni shega, bafuni haya na wale wa ofisini juu ya meza ya boss sawa tu. Hivi ni kweli ama
 
Yes. Formalities a 4 de patient & some of us unfortunately were not blessed wit patience. Popote pale, tamu kweli. Ila tatizo nikwamba mara nyingi sisi wa afrika hatuna privacy. Unaoa tu, ndugu hawa. Ingekuwa kama ulaya, we bwana we, tunge enjoy hata juu ya paa
 
Ulilosema ni kweli kabisa ila kwa mazingira yetu ya kibongo,hayo mambo hawezekani sana,labda muende kempu huko porini.
Ila wataalamu wa maswala hayo wanakwambia mapenzi yanayonoga ni yale ya kufanyia maandalizi,mnapanga appointment siku nzima unakua unamuwaza mwezio,mazingira yanaandaliwa,wakati mwingine mishumaa inawashwa,mnakula waini kidogo huku mkipata muziki wa taratibu hasa instrumentals inakua raha mpaka baasi.
 
ni kweli kabisa ukianza kupangilia saa zingine pozi linakata........I like the ghafla one
 
Ulilosema ni kweli kabisa ila kwa mazingira yetu ya kibongo,hayo mambo hawezekani sana,labda muende kempu huko porini.
Ila wataalamu wa maswala hayo wanakwambia mapenzi yanayonoga ni yale ya kufanyia maandalizi,mnapanga appointment siku nzima unakua unamuwaza mwezio,mazingira yanaandaliwa,wakati mwingine mishumaa inawashwa,mnakula waini kidogo huku mkipata muziki wa taratibu hasa instrumentals inakua raha mpaka baasi.

hilo nalo neno ukiwapiga stop maneno mfulilizo yani wanaona umeoa leo keshokutwa hao nyumbani wakati nyie mpo honeymoon
 
binamu binamu tena uku gari inatembea nyie mpo nyuma malizia mwenyewe utamu wake

halafu hapo kati yenu na dereva mnaziba na ile kitu ya kuzuia jua (nimesahau inaitwaje) na unajua saizi yake ilivyo....dereva atajiju huko
 
Formalities stuff especially kwenye hii sector sucks big time...unapata kitu roho inataka anywhere hata chini ya mwembe.......lakini hapa inakuja ishu nyingine maumivu baada ya kazi kama sehemu sio comfy
 
Heheheheee....kama unaongelea uzoefu binafsi vile....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom