Bourgeoisie
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 656
- 162
That's also a comment!!no comment
That's also a comment!!no comment
wapi tena kwingine? Mauzoefu
Ivi ii ni forum/jukwaa la siasa au ile forum ya mapenzi? Nisaidie maana siku izi kompyuta yangu inaniingiza chaka. Au ndo zile mpo kwenye kampeni first lady anaongezea mchague jeykey maana anaweza yotee...mhhh,natania ila next tym uzi huu upeleke jukwaa la mapenzi bwn,kuna viongozi wa kiroho tunakwazika kwa uzi uu,mwishowe tunaambiwa mnanajisi au sio Preta?
Wapi tena kwingine? Mauzoefu
Heheheheee....kama unaongelea uzoefu binafsi vile....
kuna aliyejaribu ghalani, (either kuna ulezi, mtama au mahindi) wengine wanaita vihenge.....wacha kabisa
Hilo ni suala la perceptions(mitazamo) kwa watu tofauti wapo na mitazamo mbali mbali. Kwa hiyo jibu ni subjective yes/no. Licha ya hivo nafikiri kuna limits. Kuna mtalaam 1 alisema !st condition of freedom is its limits.Sijui ka kweli lakini jamaa zangu huwa wananambia kuwa malovi davi yasokuwa na fomula huwa ni matamu sana. Yaani ukiwa na demu wako popote muwapo wawili nyie twende kazi. Sebuleni shega, bafuni haya na wale wa ofisini juu ya meza ya boss sawa tu. Hivi ni kweli ama
Kaka polepole unadadisi sana angalia usije kwenda kufanya Home Work na demu wako akakosa kufurahia ukalikoroga. Hapo mimi sipo
Sijui ka kweli lakini jamaa zangu huwa wananambia kuwa malovi davi yasokuwa na fomula huwa ni matamu sana. Yaani ukiwa na demu wako popote muwapo wawili nyie twende kazi. Sebuleni shega, bafuni haya na wale wa ofisini juu ya meza ya boss sawa tu. Hivi ni kweli ama
tupo kwenye jukwaa sahihi kabisa........MMU.......vipi wewe unapendelea wapi kwenye kufanya ma lov dov?
Hilo ni suala la perceptions(mitazamo) kwa watu tofauti wapo na mitazamo mbali mbali. Kwa hiyo jibu ni subjective yes/no. Licha ya hivo nafikiri kuna limits. Kuna mtalaam 1 alisema !st condition of freedom is its limits.
Kwa kuwa umezungumzia formula mind u hata kwenye numerical analysis ambapo hesabu isiyo na general/direct formula inasoviwa suala la precion hupewa umuhimu mkubwa kwa kuzingatia lmts of accuracy including resources. Kibongo bongo ukiova do every wea noma fuln hv ila ukiw vwnj na manz maeneo kujiachia full kujikuna raha mwanangu!!
Nilikuwa sijavaa miwani kumbe umemwona anabaka sread huyu jamaa. Tuko ndani anasema tuko nje. Karibu sebuleni mkuu tupeane mauzoefu>
Ha ha haaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaa mkuu hiyo mzeeee hiyo inawakilisha. You made my day pal. Weekend njema.Oooo!!!!!!! Nyie ya ofisini nilisahau inapagawisha ila ndiyo mambo yaleee inabidi uwe umejihakikishia utulivu maana unaweza kuzoea kakawa ka mchezo kako kutembelewa jioni na public holiday.
Ha ha haaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaa mkuu hiyo mzeeee hiyo inawakilisha. You made my day pal. Weekend njema.
kuna aliyejaribu ghalani, (either kuna ulezi, mtama au mahindi) wengine wanaita vihenge.....wacha kabisa