Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 14,910
- 28,661
- Thread starter
- #21
Yaani hizo persona wanao tengeneza on screen huwa zinakuwa kama identity yao,Huyo jamaa "mchicha mwiba" mzee.
Binafsi hata artist niwe napenda kazi zake kiasi gani, ila nikisikia tuu ni "wali nazi" nachukia mpaka kazi zake.
Mfano; Nilifuatilia sana PB, hasa huyo Michael, niliposikia ni punga, nikaachana nayo muda sana.
The same story kwa muziki wa Elton John, nilivunjika moyo pia nilipofahamu Mark Feehily wa Westlife ni upinde.
Sikujua kumbe Elton ni punga?
Dah huyo wa westlife hata naye sikujua..
Alaf unakuwa unajua kabisa movie haihusiani, ila automatically ukiona tu sura ya jamaa stimu inakata.