Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 14,912
- 28,657
Kwa wapenz wa movies moja ya series maarufu duniani ni prison break na moja kati ya character maarufu na star humo ni Michael Scofield
Huyo jamaa anajua sana. Nikianza kukubali mwanzoni kabisa alipo chukua initiative za kwenda kumwokoa bro wake Lincoln Burrows how alivyo plan, alivyo tengeneza map jinsi atakavyo toa kaka ake gerezani.
Na bado hata aliweza kuchora Ramani ya gereza, kwa symbolism ya tattoo artist..
How jamaa alivyo kubali kupata kuteswa kupigwa na manyapara ya gerezani ili mradi tu asitoe siri, siri ambazo zinge haribu plan alokuwa nayo
Jamaa was good actor, kwanza charisma yake, jinsi alivyo kuwa anatoa maamuzi, jinsi alivyo kuwa akiongea wote wanamsikiliza..
Nimeangalia mpka season 4 ila baada ya kusikia jamaa upinde nilitoka mchezoni kabisa like how?
How can someone act so bold on the screen ila akiingia uraiani ana pakuliwa?
Nimeipuuza kabisa season 5, labda nitaichek ila stimu umekata kabisa..
Hivi inakuaje ukisha connect na actor fulani inakuwa kama unafatilia reputation yake? Mimi imenibidi ni pause kwanza nifikirie, how!
Na hiyo crew yote waliridhia kabisa kuwa jamaa atangaze?