Hello Wakuu,
Mara nyingi kwa baadhi yetu urafiki wa kimapenzi huanza wakati bado tunakaa na wazazi/walezi na ili kujinafasi vilivyo huwa tunaenda Nyumba za wageni mbali mbali, huendelea hivyo hadi mnapoingia kwenye ndoa na mnakuwa na kwenu na chumba chenu! Je chumba huwa kinachosha na kuenda kujikumbushia enzi mnajinafasi kwenye nyumba zetu za wageni au huwa mnafanyaje? :violin:
Duh....! Mkuu hata kwenye mitaro, kivuli cha mti, nyumba zinazojengwa lakini bado haijaisha, vichakani, zizi la mifugo, nyuma ya nyumba, na hata kwenye mahindi shambani mnajikumbushia? Iwapo mmepitia hizi sehemu zote na pia mnajikumbushia zote?
Nafikiri ni muhimu maana ndipo mlipoanzia, nyoka anapita pembeni mnatulia kimya halafu mnaendelea na shughuli! Ndiyo maana hata honeymoon haifanywi nyumbani ni kwenye nyumba za wageni:becky:
Kwenye vichaka shambani mbezi tulienda kulima:becky::becky:
Wewe ulipata kumkumbushia mwenzio katika mazingira yapi kati ya hayo?
Kwenye vichaka shambani mbezi tulienda kulima:becky::becky:
Kwenye ghetto la jamaa yangu, ambapo ndipo tulipoanzia, miaka kadhaa iliyopita.
Hello Wakuu,
Mara nyingi kwa baadhi yetu urafiki wa kimapenzi huanza wakati bado tunakaa na wazazi/walezi na ili kujinafasi vilivyo huwa tunaenda Nyumba za wageni mbali mbali, huendelea hivyo hadi mnapoingia kwenye ndoa na mnakuwa na kwenu na chumba chenu! Je chumba huwa kinachosha na kuenda kujikumbushia enzi mnajinafasi kwenye nyumba zetu za wageni au huwa mnafanyaje? :violin:
Mimi nimekuwa nikimlisha dawa za kichina (au limao) ili irudie kama awali, then tunaanza kukumbushia tena....! Mahali si kigezo sana kwangu...!

Hata kila baada ya mwaka mmoja siyo mbayaoffcoz ..YES...once a month inashauriwa muwe mnapata outing moja kama hiyo ...na sehemu ziwe tofautitofauti...ila kwa sababu za kiuchumi na hapa kwetu tz basi sio mbaya saaaaaana ukiifanya kila baada ya miezi mitatu...NI MAONI TUU
Limao linasaidoa nini mkuu?