Huu wizi umezidi aisee, !!!!

Huu ndio mchezo upo kwenye trend ukimshtukia ana kublock kuna mmoja ameniomba 15k nimemwambia tuonane nimpe nimekula kufuli
 
2.5 K (njaa kali)
...Jana nilikuwa nafuturu sehemu, nikaona wadada wakalii mtu anaagiza maharage ya futari na kikombe chai, baadae nikawa na chart na wale vijana wanatoa huduma ya msosi pale why wanaofuturu wengi ni wadada? Akanambia hao ndo wanapata mlo wa usiku hapo, hali ngumu.
 
Mweh
 
Mkuu yaani kakuomba buku mbili jero ndo unamtangaza hivo? Je ukikutana na wapigaji waliokubuu? Mwenzako niliambiwa nimkopeshe million moja hata simjui.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom