Wizi wa MB bando leo

Wizi wa MB bando leo

Voda niliwahi kuweka bando nikiwa Tunduma nafika Vwawa naambiwa 75% used nilicheka sana wakati huo huo bundle ya airtel ya Zambia niliyoweka kwa hela ndogo na kupata 5Gb bado ipo hata sasa hivi ipo narudi huko naendelea kuitumia ila 20Gb ya Voda ishaisha mara mbili na kazi ile ile..
 
Wadau Leo Voda na halotel wanakula MB vibaya mno ukiweza la Huku ukafungua hata jf sekunde limeisha, huu ni wizi au Kuna shida sehem,
Ni kweli hata mimi niliona hili ila sema hii biashara inamilikiwa na wanasiasa wenye madaraka makubwa
 
Voda niliwahi kuweka bando nikiwa Tunduma nafika Vwawa naambiwa 75% used nilicheka sana wakati huo huo bundle ya airtel ya Zambia niliyoweka kwa hela ndogo na kupata 5Gb bado ipo hata sasa hivi ipo narudi huko naendelea kuitumia ila 20Gb ya Voda ishaisha mara mbili na kazi ile ile..
Tuishazoea kuibiwa mpaka tumeona ni kawaida
 
Hii mitandao kumanyoko zao! 😎
Naomba nibold

Tigo ndio washenzi yan duh! Nina kipocket wifi.. sasa hiyo siku nikaenda misele.. kiwifi nkakiacha home,, 10 GB nikaanza kuitumia saa 12, saa 1 haikufika hata na nusu natumiwa sms et umetumia asilimia 75 za bundle lako, umebakiza GB1.9

Ningekuwa dragon ile siku ningetoa moto niwaunguze 😹
8GB haijamaliza 2hrs? Na sio kwamba nimeangalia movie online!!
 
Hii mitandao sometimes inatuona kama makebo yao 🤣
 
Airtel ndio wanaongoza kwa Wizi wa Mb yani ofisini nawekewa 50gb lakini nisawasawa tu na Gb 5 ukiingia tu Instagram dakika 10 unakuta gb zaidi ya 3 zimeteketea. Bora hata halotel
 
Matajiri wa JF wanajadili matumizi ya bando 🤣🤣🤣🤣. Umasikini ni tatizo sugu. Tutafute pesa
 
Back
Top Bottom