Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
[emoji23][emoji23][emoji23] ngoja na mie nikuPM
Si ndo apo mkuuNakuwa muwazi namwambia sina hata kumi..siwezi nikahonga kizembe hivyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Professor umezama???
Mbili jero mkuuDuh buku 2 jero
Hapo ndo maajabu yenyeweLakini hela ya kua na smart phone anayo sio
Ni utapeli wa hali ya juu.mkuu unajua anaomba watu wangapi??? huo ni utapeli wa mjini
Maboya ndio wataingia mtego walahiWana hali mbaya sana kisaikolojia hawa! Yaani wanaamini kabisa pesa zao wanazo wanaume watazichukua kwa namna yeyote Tu
Teh tehHiyo ni ada ya kupata namba ya kutumia watsapp mchati. Teh teh...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Shida yake ni ya haraka sana??? Si angesubiri zile trillion 108 za makinikia???
Doooh bruh, like seriously? I've been online since Netscape.. do u even know what that is? Please kid, dont kill my vibeAcha ulimbukeni ww...unaonekana "wa nyumbani" wewe bado una ushamba fulani wa mitandao.
Cha msingi mshukuru mchina kawaletea tekno na itel ..wachimba chumvi kama nyie mnakua online...
Sasa icho ni kitu cha kupost??
Ungekua mjanja wa mitandao mtu km hiyo unamblock automatically sasa unalia lia nn hapa.
Hahaha mmzeya kizinga cha buku mbili jero kinachekesha sana then it makes u wonder what kind of a lowclass chick would ask for 2.5Teh, acha ubahili mzeya buku mbili jero kitu gani mpaka kumuanika totolito namna hii!?!?
Inaonekana ulishaliwa.
akikusanya kwa watu 10-20 ana sh. ngap kwa sikuDuh buku 2 jero
aisee we jamaa kumbe haujui vizur tabia za huko fbAcha ubahili mzee tuma hata ten huwez jua binti wawatu anashida ya pedi siunaona bei iliokuomba
Noh, nah meInaonekana ulishaliwa.