Kauli mbiu ni ile ile ponda raha.Kuna mabint wakinyaturu wapo kama wahindi duh watoto wazuri kinoma
urembo ni tofauti na uzuri. unaweza ukajua kujiremba ila ukawa 'mbovu'.Japo mabinti wa kichaga warembo ila urembo wa wanyaturu umezidi wachagga mno.
nimemjibu hii kituUrembo ni namna mtu anavyoona machoni.
Nakumezea mate kishenzaikambe
Mtu kama huyu unaoa na unatarajia kupata watoto vidume vya shoka kweli.!
Mtu kama huyu unaoa na unatarajia kupata watoto vidume vya shoka kweli.!
Wanawake wenye matege mpewe maua yenu mnafaa zaidi ya sana
matende, madhara ya mbu aitwaye kulex
Acha kufananisha wanyaturu na vitu vya kijinga aiiseeJapo mabinti wa kichaga warembo ila urembo wa wanyaturu umezidi wachagga mno.
Wasukuma tunaingiaje tena hapa kakaUshamba wa kupenda rangi wew utakua Msukuma......
Itakuwa ni msaada mkubwa na kielelezo thabiti kwetu sisi ambao hatujawahi kuwaona.Hebu weka picha zao kutetea hoja yako.
haunizidi mieNakumezea mate kishenz