Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 9,082
- 25,428
950k
aisee poleee
950k
Sijui anaona noma gani kulijibu hili swaliWalishika simu yako?
Nimeshajibu pale..simu hawajashika na hata hivyo wasingeweza kupewa simu sababu kulikuwa na wateja wanne wote wanatoa tigopesa...hao wawili walitoa fasta na wakati wengine wamemaliza kutoa ndio likaja salio halisi...kushtuka kumekuchaSijui anaona noma gani kulijibu hili swali
Anyway sasa hivi nimempa utaratibu anaekaa ofisini.. mtu akitoa pesa ndefu achek kwanza salio ndio apewe..
Mkuu Nakuhakikishia hakuna fault ya hivo kwenye mitandao ya cm kwamba wanaweza kucheza na system bila wewe mwenyewe kuzembea.Daaa pole Sana mkuu ...Kuna siku nikiwa town nakula misele nyuma yangu kulikuwa na washkaji kama
Watatu hivi ....Sasa kwasabu sehemu niliyokuwa napita ni vichochoroni nikawa makini kugeuka nyuma baada ya hatua kama tano hivi ....kwasabu wale jamaa walikuwa wanapiga story baasi nikawa nawasikiliza bla wao kujua maana nikazuga naongea na simu...
TeaMbona code no. ni 252 na siyo 255?
Message toka tigopesa haziandikwe From: Tigopesambona namba iliyoleta text zote inaonekana ni TIGOPESA?
Kweli huyu poyoyo hataki kujibu Hilo swali. Kwanini?Ila wewe jamaa ni Ms..nge sababu watu wanakwambia uangalie phonebook yako uone kama kuna jina limeseviwa TIGOPESA wewe unakomaa kubisha na kuuliza maswali yako ya kizwazwa ati salio wamejuaje.
Ndo maana umeibiwa kifala sababu nimeshakuona kama una akili za kichukumbe kabisa.
Shenzi taipu.
Iyo code pia ni swali jingine mkuuKumb No. haiwezi kufanana hata mbingu zishuke, hapo bwashee umefowadiwa meseji tu kwa namba iliyoseviwa TIGOPESA.... kisha kampa simu mwingine naye kaedit tu kiasi akafowadi tena.
Check kwenye phonebook, ukikuta namba iliyeseviwa hivyo.... jipige kifuani mara kumi na mbili.
Imeisha hiyoooo.
Hoo staili alipopigwa ni pale wakala unaruhusu mteja kushika simu yako ili kuandka no zake za kumuwekea hela..anajisave tigo pesaa au mpesa ...Apo kipigo ndo hufuataJibu kama simu zako zilishikwa na hao matapeli, leo au days before...
Kama walizishika tafuta mtu anaitwa TIGOPESA kwa phonebook yako ukimkuta, liaaaaaa... Kisha endelea oruhusu mteja kushika du yako
...ipo na staili ya piki ya kutolea hela mbali na mteja kujirudushoa hela...wakala eticna bness, chukulia kuwa umelipa ada ya mafunzo as hutaibiwa tena na hakuna mtu atagusa yo phone again!