Huu wizi kupitia Tigopesa, naomba Tigopesa mnisaidie majibu hapa

Jibu kama simu zako zilishikwa na hao matapeli, leo au days before...

Kama walizishika tafuta mtu anaitwa TIGOPESA kwa phonebook yako ukimkuta, liaaaaaa... Kisha endelea na bness, chukulia kuwa umelipa ada ya mafunzo as hutaibiwa tena na hakuna mtu atagusa yo phone again!
Hii inamake sense...😢😢😢
 
Mchezo uliofanyiwa hapo ni huu,
Kuna mtu alishika simu yako, akasave namba zake kwa jina la tigopesa.
Kisha akakutumia msg ya kawaida na ikaja kwa jina la tigopesa ambalo limesaviwa kwenye simu.
Huyo mtu aliangalia Salio lako kwenye msg za tigopesa. Hivo akawa anatuma msg akiongeza hizo amounts.

Umeibiwa kwa staili hiyo bila shaka
 
Jibu kama simu zako zilishikwa na hao matapeli, leo au days before...

Kama walizishika tafuta mtu anaitwa TIGOPESA kwa phonebook yako ukimkuta, liaaaaaa... Kisha endelea na bness, chukulia kuwa umelipa ada ya mafunzo as a hutaibiwa tena na hakuna mtu atagusa yo phone again!
Nliwah kuibiwa kwa style hii ila kwa comment yako sijui nicheke au nimhurumie jamaa aloibiwa
 
Kumb No. haiwezi kufanana hata mbingu zishuke, hapo bwashee umefowadiwa meseji tu kwa namba iliyoseviwa TIGOPESA.... kisha kampa simu mwingine naye kaedit tu kiasi akafowadi tena.

Check kwenye phonebook, ukikuta namba iliyeseviwa hivyo.... jipige kifuani mara kumi na mbili.

Imeisha hiyoooo.
 
Back
Top Bottom